Kiporo kipya
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 399
- 381
Haha umemjua Lyimo??Mzee Noriega, Umefuata mzigo? Au vijana wa Aretas Lyimo wameshakula kichwa?
Una haki zote za kulalamika mkuu but hilo neno la mwisho..Kama ulijua hautamaliza uzi sasa uliuleta wa nini? Huu ni ujinga
Malizia hivi... Lione.Mfyuu
🤣🤣lioneMalizia hivi... Lione.
kwahiyo huandiki tena au?Malizia hivi... Lione.
kwahiyo huandiki tena au?
Bado wakishusha nitawafanyia hima mkuu..Ila Kuna watu mnapenda kubembelezwa khaa!! Au huko unako copy paste hawajashusha mzigo bado?