Agawana vitu nusu kwa nusu na mkewe

Agawana vitu nusu kwa nusu na mkewe

Niamini mimi... Mwanamke wake ana Amani kuliko Mwanaume kwa Mgawanyo huo.
 
Hiyo inaitwa Umemwaga mboga, namwaga ugali. Hao mahakimu watakuwa walibakiwa na kucheka tu jinsi jamaa alivyotekeleza hukumu yao.
 
Kama una habari njema kama hizi niamshe hata saa nane za usiku.
 
Hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya pasu pasu.
Shenzi, nenda kauze friji lako chuma chakavu kisha wote tuanze upya.
 
Mi nilimuachiaga ghetto mtu. Nilibeba bag lina documents tu.

Aisee ukikutana na mwanamke kichaa ni kichaa kweli
 
Back
Top Bottom