Age and love

Age and love

sagamawe

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
148
Reaction score
36
I have been observing the advertisements in JF about love and noted that, whenever a male needs a girlfriend will always specify age that is below his while a female specifies above her's. Can someone tell to educate me on this?

Thank you
 
Wait for English medium like you to Educate you.
 
Nitakuelimisha kwa lugha adhimu ya kiswahili kama utanieleza maana hapa mimi:confused2:
 
Aaah.... Hizi lugha wengine tulikimbia umande..!
 
Thats where a problem is, age doesnt matter in loving couple.
 
I have been observing the advertisements in JF about love and noted that, whenever a male needs a girlfriend will always specify age that is below his while a female specifies above her's. Can someone tell to educate me on this?

Thank you

Nimekuwa nikiangalia matangazo mengi kuhusu mapenzi hapa JF na nikagundua kwamba mwanaume anapotafuta mchumba hutafuta aliye chini ya umri wake na mwanamke naye hutafuta mtu mwenye umri zaidi yake je kuna mtu anaweza kunielimisha juu ya hili Asante haya jamani msaidieni mi nmefanya kwa nilivyoelewa
 
rafiki age na love zina uhusiano kwa kiasi kikubwa. hii ni hasa pale mwanamke akishajifungua hubadilika haraka- yaani mwonekano wake huwa wa kizee mapema kuliko mwanaume. hivyo ili wawe sawa na mwanaume ni lazima mwanaume awe wa age ya juu kuliko yeye.
mfano: msichana wa miaka 23 akiolewa na mmwanamme wa miaka 23. wakizaa tu mwanamke huyu aweza kuonekana kama wa miaka 30 mkubwa zaidi ya mwanaume!
ANGALIZO: si lazima iwe hivyo hutegemeana pia na mwili wa mwanamke!
 
Nimekuwa nikiangalia matangazo mengi kuhusu mapenzi hapa JF na nikagundua kwamba mwanaume anapotafuta mchumba hutafuta aliye chini ya umri wake na mwanamke naye hutafuta mtu mwenye umri zaidi yake je kuna mtu anaweza kunielimisha juu ya hili Asante haya jamani msaidieni mi nmefanya kwa nilivyoelewa
Mfumo dume mnauendeleza wenyewe baada yakuona kuwa aiingii akilini kuolewa na mwanamme unaye mzidi umri!
 
Back
Top Bottom