age gap relationship.

vumilianeni tu si utakuwa unamruhusu kidogo anapiga kazi za nje?
 
life style yetu siku hizi mchoko mkuu - nawaona age ndogo kama ulivyosema tayari kugawa gozi mchoko haha
Mimi ningekuwa na mashaka kama ingekuwa vice versa yaani mkeo awe na umri wako na wewe uwe na umri wake. Sababu hapa ni kwamba kuna mabadiliko makubwa kibailojia kwa upande wa kina mama baada ya kuvuka miaka 45 wakati kwa wanaume ndiyo haswa wanakuwa katika sexually active age. Wanaume hubaki sexually active hadi miaka 75, 80 au zaidi hii inafafanua kwa nini katika baadhi ya mila na tamaduni wapo mabinti wanaoozeshwa kwa watu wazima wa namna hiyo (Ingawa mimi siliungi mkono hilo) na wanaendelea kuzaa watoto ambao bila ubishi wanaonekana ni kazi ya wahusika katika ndoa hizo. Kwa upande wa wanaume umri si determinant ya sexual activities kwani katika stadi kadhaa wamepatikana pia wanaume kadhaa walio katika age ya below 40 na wenye matatizo makubwa kabisa ya kutumia ndoa zao!
 
yaani umeoa ndoa ya miaka 3 halafuu unakuja na maswali kwa watu, duh binadamu ni kazi kabisa
ulikuwa wapi wakati wote huo?
 
blue face huyo mkeo ni yule dinnah wa dhb
au???????
 
yaani umeoa ndoa ya miaka 3 halafuu unakuja na maswali kwa watu, duh binadamu ni kazi kabisa
ulikuwa wapi wakati wote huo?

si ndio hapo jamani.
Halafu kashamuoa anamwambia akatafute mwingine.
Atuambie tu kama ana sababu zake zingine ila anatumia kigezo cha umri.
 
Usikate tamaa kaka yangu kuna mtu namjua ana miaka 52 mkewe 39 kila siku mkewe huwa analalamika mumewe hatosheki na tendo la ndoa. kwa hiyo wewe kuwa fiti tu fanya mazoezi kwa sana kula vyakula healthy wala hutakuwa na shida. ondoa shaka furahia maisha
 

jamaa anajistukia huyu!
 
to the contrary,

hivi inakuaje kama mwanamke yeye ndio kakuzidi kwa mfano miaka 2 hivi, is it okay pia?
 


Kama mnapenda ya nini uanze kuwaza mambo sijui ukifika 50's sijui nini blah blah gani. Mimi bado naona unatafuta sababu refer hiyo red hapo juu. Kwanini uanze kusema hivyo. Honestly i have the feeling umepata kwingine unatafuta sababu ya ku-justify unachotaka kufanya. Kwanini usingoje ukafika 50 ukajionea! na labda je, kama hutafika 50?( ila siombei hilo) na akikwambia okay tugawane mali mkaachana halafu akatafuta hata mzee kuliko wewe! Acha hizo bana. Mpende mkeo muishi mpaka kifo kiwatenganishe.
 
This is rubbish, kama huna cha kuandika hukae kimya muheshimiwa!. Kwanza nawashangaa mnaojadili upuuzi kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…