Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ningekuwa na mashaka kama ingekuwa vice versa yaani mkeo awe na umri wako na wewe uwe na umri wake. Sababu hapa ni kwamba kuna mabadiliko makubwa kibailojia kwa upande wa kina mama baada ya kuvuka miaka 45 wakati kwa wanaume ndiyo haswa wanakuwa katika sexually active age. Wanaume hubaki sexually active hadi miaka 75, 80 au zaidi hii inafafanua kwa nini katika baadhi ya mila na tamaduni wapo mabinti wanaoozeshwa kwa watu wazima wa namna hiyo (Ingawa mimi siliungi mkono hilo) na wanaendelea kuzaa watoto ambao bila ubishi wanaonekana ni kazi ya wahusika katika ndoa hizo. Kwa upande wa wanaume umri si determinant ya sexual activities kwani katika stadi kadhaa wamepatikana pia wanaume kadhaa walio katika age ya below 40 na wenye matatizo makubwa kabisa ya kutumia ndoa zao!life style yetu siku hizi mchoko mkuu - nawaona age ndogo kama ulivyosema tayari kugawa gozi mchoko haha
yaani umeoa ndoa ya miaka 3 halafuu unakuja na maswali kwa watu, duh binadamu ni kazi kabisa
ulikuwa wapi wakati wote huo?
Usikate tamaa kaka yangu kuna mtu namjua ana miaka 52 mkewe 39 kila siku mkewe huwa analalamika mumewe hatosheki na tendo la ndoa. kwa hiyo wewe kuwa fiti tu fanya mazoezi kwa sana kula vyakula healthy wala hutakuwa na shida. ondoa shaka furahia maisha
jamaa anajistukia huyu!
Au nguvu zishaanza pungua nini!!!!!:twitch:
Truly, hivi sasa ananipenda sababu shughuli ipo, labda bado hamjanifahamu.
unajuwa mukiowana young same age or a little different, munazeeka pamoja,
siku zambele hakuna wa kumlaumu hata mkilala kila mmoja kaelekea ukutani
mumepeana migongo hamjali - nyote mumekula uroda wa kutosha kwenye ujana right?
lakini uongo katoto kadogo na mimi nishazeeka, uongo hatokubali kupapasa chuchu
na kunusa sambusa, huwezi kuila tena, utamtesa kijana wa watu right?