"Age Is Just a Number!" Kenyan Grandmothers Inspire Many Through Football

"Age Is Just a Number!" Kenyan Grandmothers Inspire Many Through Football

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312

Wakati wengi huamini kwamba football ni mchezo wa vijana pekee, kundi la bibi nchini Kenya limevunja hiyo perception kwa kuingia uwanjani na kuonyesha talent, determination na teamwork ya hali ya juu.
Katika video inayosambaa mtandaoni, grandmothers hao wanaonekana wakifanya warm-up, wakikimbia, wakipiga pasi na kushindania mpira kwa nguvu sawa na wachezaji wa kawaida. Wengi wao wanasema waliamua kuanza kucheza football baada ya kustaafu ili kubaki active, improve their health and enjoy life while making new friends.
Kwao, football sio tu mchezo bali ni njia ya kupambana na stress, loneliness na lifestyle diseases ambazo huathiri watu wengi wanavyozeeka.
Video hiyo imewavutia Wakenya wengi mtandaoni, huku wengi wakisema wanawake hao ni mfano wa resilience, discipline na kwamba age should never stop anyone from chasing their passion.
Wengine wamepongeza initiative hiyo wakisema inaweza kuwahamasisha wazee wengi kushiriki katika physical activities ili kuboresha afya zao na kuishi maisha yenye furaha na nguvu zai
 
Back
Top Bottom