Age is just a number

Age is just a number

Kama nilivyoanza hapo kwenye title. Age is just a number.

Natafuta mwanamke ambae tutaanzisha mahusiano kwa mlengo mmoja tu, tuje tufunge.

Umri mie nakubali wowote ule kuanzia 18 - 40.
Kwanini ? Mara ya kwanza nilikuja kwa lengo la kutafuta mwanamke ila ni kaweka restriction kubwa ya umri jambo ambalo lilinicost kwa sababu walikuja wanawake fulani PM, nikawa-push aside. Nilifanya hivyo nikitarajia a certain young lady would come so we could plan our future.

Lakini nikagundua kuwa chance ya kupata mwanamke kijana ni 0.00001%

Sasa mie hakuna kitu nnachohitaji kwa sasa zaidi ya kuoa, na umri niliopanga kuoa unanitupa mkono.

✓Kama wewe ni mwanamke mwenye elimu angalau ya Form 4.
✓Sio golikipa, angalau unajishughulisha na CHOCHOTE.
✓Dini yoyote.
✓Si mfupi sana.

Basi njoo tuyajenge.

-Mimi umri wangu ni 27 - 30. Kama utaridhia.
-Elimu Diploma.
-Muajiriwa kwenye Firm fulani hapa Dar.
-Sina mtoto.
-Unataka kujua zaidi ? Njoo PM.

Angalizo: Uwe tayari kupima afya.
Mwanaume unatakiwa uoe msichana.
 
Back
Top Bottom