Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
...sawa unaweza usione tatizo kama mtazamaji..ila ukaona tattizo kama mtu unaye jua matangazo na wazo la tangazoNa wote wanafanya road shows... Mkuu we unashauri lipi kwani? Watumie nyimbo tofauti kwa kutumia hao watu maarufu ama.. Miziki inayohit ni mizuri kwa advertising,ama wasanii pendwa ni wazuri kuuza kitu chako..Sioni tatizo kiukweli.. Mtu chake
...sawa sawa@charminglady....lakini watu kama voda ambao wana hazina ya event kama Miss tanzania..ligi kuu tanzania bara amabyo inapendwa na vijana na watu wengi tu tz..kwanini wasitoe tangazo la aina hiyoo..umesahau voda walikuja na kwaito, saiv wana wimbo wa juma nature - cujui unaimbwaje ila ktk tangazo unaimbwa - wajanja wote standup wajanja standup!