Uchaguzi 2020 Agenda 2020 jimbo la Mwibara

Uchaguzi 2020 Agenda 2020 jimbo la Mwibara

Ukweli Khangi, Musiba hakuna Kiongozi hapo. Kajege?? Wapeni Vijana Wawili Kama Idd Mabara Yazid au Mnene James Nyamega. Hao Wana maono na weledi wa kutosha kuhudumia wananchi. Hao Musiba, Khangi na Kajege ni Mabeberu wa Jimbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena Cyprian Musiba anafaa kuwa Spika wa bunge maana ni jasiri!

Maendeleo hayana vyama!
 
CR bora kuwahi kutokea katika chuo cha SUA sina cha kuongeza.
 
Musiba hamna kitu mle,bora mzee wa uno aendeleze
 
Back
Top Bottom