Agenda 5 za Mbowe kwa mwaka 2023

"Mwamba" ulioyeyushwa na Suluhu?
Siku siyo nyingi tutauona ukweli.
Mchumia tumbo kuitwa mwamba ni upuuxi sana, jama ni hustler wa mali za Umma kupitia hela za chama, Magufuli aliwaweza sana kuwapunguzia luzuku…bado akawawekea wale madada 19 ngumu kumeza… Mbowe hawezi msahau Magufuli maisha yake yote, ile issue ya Samia kumuweka ndani nadhani ni yeye mwenyewe aliomba kupumzishwa kijanja… trust nobody, specially politicians. Magu wasn’t among them 100 reasons why he got eliminated.
 
Sielewi kwa nini umechagua kuweka haya yako kupitia kwenye mchango wangu.

Niseme tu kwa upole hapa kwamba sikubaliani na mawazo yako.

Sasa kama unatafuta shari toka kwangu kwa kuendeleza uhayawani wako, basi hilo litakuwa ni jambo jingine unalitafuta.
 
Imetokea bahati mbaya nimereply kwako, lengo halikuwa kuunganisha hoja yangu kwako, hata hivyo unajihami sana, laiti kama ungekuwa mmiliki wa hii forum sidhani kama tungepata fursa ya kuandika chochote.
 
Wewe endelea kulamba viatu vya mwenyekiti wako, huku unaemlamba viatu akikimbiza watoto wake Marekani wakaombe uraia wa huko.
Kwa hiyo unataka awaache hapa waje na wenyewe wamalizwe na wasiojulikana wenu wale.
 
Imetokea bahati mbaya nimereply kwako, lengo halikuwa kuunganisha hoja yangu kwako, hata hivyo unajihami sana, laiti kama ungekuwa mmiliki wa hii forum sidhani kama tungepata fursa ya kuandika chochote.
Takataka kama hizi zako zisingepata nafasi, hilo liko wazi, na wala siyo jambo la kujutia.
 
Hao Sabaya na Magufuli walaaniwe milele daima
 
Usimfananishe Daudi na vitu vya ovyo. Hakuna kokote ambako Daudi aliua isivyo haki
 
Usimfananishe Daudi na vitu vya ovyo. Hakuna kokote ambako Daudi aliua isivyo haki
Umesahau alipomtuma askari wake frontline kuuawa ili aoe mke wake? Mpaka Mtoto aliyezaliwa baada ya huo uchafu (Kaka yake Suleiman) akafa! Tena ikiwa kama adhabu kutoka kwa Mungu wao, Soma hizo simulizi vizuri. (2 Samwel 12: 1 - 23). Huyajui madaraka wewe kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…