Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Mchumia tumbo kuitwa mwamba ni upuuxi sana, jama ni hustler wa mali za Umma kupitia hela za chama, Magufuli aliwaweza sana kuwapunguzia luzuku…bado akawawekea wale madada 19 ngumu kumeza… Mbowe hawezi msahau Magufuli maisha yake yote, ile issue ya Samia kumuweka ndani nadhani ni yeye mwenyewe aliomba kupumzishwa kijanja… trust nobody, specially politicians. Magu wasn’t among them 100 reasons why he got eliminated."Mwamba" ulioyeyushwa na Suluhu?
Siku siyo nyingi tutauona ukweli.