Elections 2010 Agenda Participation 2000; Where are you

Elections 2010 Agenda Participation 2000; Where are you

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
853
Reaction score
115
Agenda Participation 2000 ni shirika lisilo la Kiserikali ambalo linajihusisha na masuala ya uchaguzi na elimu kwa umma juu ya uchaguzi na uraia. Juzi (Ijumaa) jeshi lilijiingiza katika siasa suala ambalo ni kinyume cha sheria (labda wamesahau kusoma Job description yao).
  1. kwanini mmekaa kimya?
  2. Je hilo haliathiri upigaji kura?
  3. Kazi yenu ni kuwaelimisha umma kuwa wajiandikishe na kupiga kura au pia kuwaelimisha wachague viongozi bora?
Rudini kazini
 
Back
Top Bottom