Deogratias Mutungi
Senior Member
- Oct 1, 2019
- 140
- 181
- Thread starter
-
- #21
Ni haki ya Spika Ndugai kufanya hivyo na kuonyesha fikra zake, lakini si fikra za Mkuu wa nchi alishakanusha kwa kusema "hataongeza hata dakika" uamini mpaka sasa Mkuu.Kwanini kama siyo ajenda ya rais kina kesy walipoongea bungeni spika akasema hiyo hoja ilete tukimaliza uchaguzi na itapita na umemsikia ndugai kama wanataka wabunge wengi wa ccm bungeni kwani kuna mambo yao wataka kuyapitisha na ulimsikia Ali hassan mwinyi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Naona unapima uelekeo wa upepo. Siwezi puuzia. Inaonesha wazi kuwa watu waliotokea ukanda hou wanatabia hiyo.Thanks, Wabunge ni Watanzania kama wewe hayo ni mawazo yao na sio kusudio la Mkuu wa nchi, usijali puuzia uvumi huo.
nilipoona tu Mutungi nikajua ni walewale tuAGENDA YA KUBADILI KATIBA SI YA RAIS MAGUFULI, NI AGENDA YA WAPAMBE.
Nawasalim wana JF
Nimeamua kuandika andiko hili ili kutoa ufafanuzi wa maneno na taarifa zinazosambaa mitaani, mitandaoni na viunga mbalimbali vya taifa letu kuwa Rais Magufuli ana mpango wa kubadilisha “ Katiba ili aweze kutawala milele” Hoja hii ni ya uongo, upotoshaji na iliyojaa chuki na uzandiki wa hali ya juu sana, na ni hoja ya kipambe zaidi kuliko ukweli mwenyewe, aidha huu ni uvumi wa kisiasa usio kuwa na tija kwa taifa letu na unastahili kupuuzwa kwa nguvu zote.
Rais Magufuli kila mara amekuwa akikanusha taarifa hizi kwa kusema na hapa namunukuu “ Baada ya muda wangu kuisha sitaongeza hata dakika” Je taarifa hizi za kuongeza muda zinatoka wapi au ni agenda ya nani? Bila shaka ni agenda ya wapuuzi wanaotaka kumchonganisha Mkuu wa nchi na watu wake. Rais Magufuli ni kiongozi mwema mwenye haiba ya usikivu na “Kiongozi mwenye kuheshimu Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania’’ Aidha ni mwenye busara anayetambua umuhimu wa kuilinda na kuiheshimu katiba ya nchi.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani na wanaharakati tuache kutoa taarifa za uongo zenye uchonganishi wa rais na watu wake, Hakuna taarifa rasmi au hotuba yoyote ambayo mkuu wa nchi aliwai kusikika akisema ana mpango wa kuongeza muda wa madaraka au kubadili katiba ya nchi hakuna kabisa, lakini kwa sababu ya ukosefu wa agenda kisiasa kumekuwepo na uvumi wa kiudaku udaku juu ya dhana hiyo isiyo na mashiko ya aina yoyote.
Aidha wote wanaozusha jambo hilo hawana ushahidi wa aina yoyote isipokuwa tu wanaongozwa na mihemko, chuki na propaganda za kishamba katika kuchonganisha mtu na mtu, tujenge hoja na kuendesha siasa safi tunapokuwa majukwaani na si kuzusha wala kukashifu rais na kumsemea mambo ambayo hajawai kuyasema.
Myonge myongeni lakini haki yake mpeni, Rais Magufuli amefanya makubwa ndani ya kipindi cha miaka mitano bila shaka wana JF wanakubaliana na mimi kuwa uchumi wa vitu na watu uliofanywa na serikali ya JPM umenoga na pengine ndio sababu ya kuanza kuzusha mambo ambayo hayana tija katika ustawi wa maendeleo ya Mtanzania wa kawaida, Nashauri wana JF tupingane na wazushi wanaomzushia rais wetu kipenzi na tushikamane kutangaza mema ya JPM.
Nawatakieni Jnne njema.
Deogratias Mutungi
0717-718619
Mkuu relax, usiamini huo uvumi ni propaganda za waliokosa agenda na sera.Msitufanye wajinga.... wanachofanya hapa ni kutupa "trial balloons".
Wale wale kwa maana gani ndugu yangu?nilipoona tu Mutungi nikajua ni walewale tu
Hata Jiwe mwenyewe aliwahi kutamka hadharani kuwa miradi mingi alioanzisha hakuna wakuweza kuyamalizia wala kuyalinda. Alisema anaweza kuja mwingine hata hizi ndege tulizozinunua akaamua kuzipiga bei.Kwanini kama siyo ajenda ya rais kina kesy walipoongea bungeni spika akasema hiyo hoja ilete tukimaliza uchaguzi na itapita na umemsikia ndugai kama wanataka wabunge wengi wa ccm bungeni kwani kuna mambo yao wataka kuyapitisha na ulimsikia Ali hassan mwinyi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Sasa dada, mtu akikuambia anakupenda unaanza kumkaripia?Lakini hii hoja ikitamkwa hadharani humfurahisha Rais na watoa hoja huwa hawakaripiwi kwa upotoshaji.
Mmh kama ni mke wa mtu na kauli ile unaona itahatarisha ndoa yako lazima umnyamazishe.Sasa dada, mtu akikuambia anakupenda unaanza kumkaripia?
Ndio ni mpambe. Tena mpambe nuksi kwani aliingia kwenye upambe ili kuwezesha mwanae apate urais wa Zanzibar.Kwa hiyo hadi Raisi Mstaafu Mwinyi ni Mpambe???
Hatuhitaji propaganda za kwenye makaratasi wakati hali halisi tunaiona. Watumishi wana hali mbaya, miaka mitano sasa maslahi yao hayaboreshwi, wafanyabiashara wakubwa wengine wamefunga biashara zao, watanzania wakawaida wengi wamepunguzwa kazi, juzi tu hapa Total wametangaza kuondoka unadhani waliojariwa wote Tanzania nzima ni wangapi na familia zao ngapi ziliwategemea, ukija wafanyabiasahea wadogo ndio kila siku wanaumizwa na kodi za kila siku, wakulima ulija hao ndio usiongee kabisa, wastaafu na mafao kila siku wanalia. Ndio maana nilikwambia sio Watanzania wote ni wajinga kutuletea propaganda za takwimu za kupika.Sio kweli Mkuu, mbona rais anakubalika kuliko wakati wote, upo nchini au nje? kama upo nje nitakutumia mchanganuo wa takwimu za uchumi wa vitu na watu.
watanzania siyo wajinga na siyo tu ni suala la kubadili katiba ni kwamba MAGUMU akipita tena awamu hii hatoki madarakani na ndo raisi wa maisha kama M7AGENDA YA KUBADILI KATIBA SI YA RAIS MAGUFULI, NI AGENDA YA WAPAMBE.
Nawasalim wana JF
Nimeamua kuandika andiko hili ili kutoa ufafanuzi wa maneno na taarifa zinazosambaa mitaani, mitandaoni na viunga mbalimbali vya taifa letu kuwa Rais Magufuli ana mpango wa kubadilisha “ Katiba ili aweze kutawala milele” Hoja hii ni ya uongo, upotoshaji na iliyojaa chuki na uzandiki wa hali ya juu sana, na ni hoja ya kipambe zaidi kuliko ukweli mwenyewe, aidha huu ni uvumi wa kisiasa usio kuwa na tija kwa taifa letu na unastahili kupuuzwa kwa nguvu zote.
Rais Magufuli kila mara amekuwa akikanusha taarifa hizi kwa kusema na hapa namunukuu “ Baada ya muda wangu kuisha sitaongeza hata dakika” Je taarifa hizi za kuongeza muda zinatoka wapi au ni agenda ya nani? Bila shaka ni agenda ya wapuuzi wanaotaka kumchonganisha Mkuu wa nchi na watu wake. Rais Magufuli ni kiongozi mwema mwenye haiba ya usikivu na “Kiongozi mwenye kuheshimu Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania’’ Aidha ni mwenye busara anayetambua umuhimu wa kuilinda na kuiheshimu katiba ya nchi.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani na wanaharakati tuache kutoa taarifa za uongo zenye uchonganishi wa rais na watu wake, Hakuna taarifa rasmi au hotuba yoyote ambayo mkuu wa nchi aliwai kusikika akisema ana mpango wa kuongeza muda wa madaraka au kubadili katiba ya nchi hakuna kabisa, lakini kwa sababu ya ukosefu wa agenda kisiasa kumekuwepo na uvumi wa kiudaku udaku juu ya dhana hiyo isiyo na mashiko ya aina yoyote.
Aidha wote wanaozusha jambo hilo hawana ushahidi wa aina yoyote isipokuwa tu wanaongozwa na mihemko, chuki na propaganda za kishamba katika kuchonganisha mtu na mtu, tujenge hoja na kuendesha siasa safi tunapokuwa majukwaani na si kuzusha wala kukashifu rais na kumsemea mambo ambayo hajawai kuyasema.
Myonge myongeni lakini haki yake mpeni, Rais Magufuli amefanya makubwa ndani ya kipindi cha miaka mitano bila shaka wana JF wanakubaliana na mimi kuwa uchumi wa vitu na watu uliofanywa na serikali ya JPM umenoga na pengine ndio sababu ya kuanza kuzusha mambo ambayo hayana tija katika ustawi wa maendeleo ya Mtanzania wa kawaida, Nashauri wana JF tupingane na wazushi wanaomzushia rais wetu kipenzi na tushikamane kutangaza mema ya JPM.
Nawatakieni Jnne njema.
Deogratias Mutungi
0717-718619
Kwahiyo wataka tuamini huyu aliyesema kama Saddam Hussein ni rais wa KuwaitNi haki ya Spika Ndugai kufanya hivyo na kuonyesha fikra zake, lakini si fikra za Mkuu wa nchi alishakanusha kwa kusema "hataongeza hata dakika" uamini mpaka sasa Mkuu.
Mkuu sisi sio wageni hapa Africa.Mkuu relax, usiamini huo uvumi ni propaganda za waliokosa agenda na sera.