kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kawaida huwezi zungumzia mchakato bila kuhusisha mchakato wenyewe ,Biden usenge huu asinge udilisha bila kuwaweka karibu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu kazi inakufaje?Ushoga unaua nguvu kazi
Great point.Muhimu tupambane na mabasha au watu wanaowalawiti watotoMi nadhani ni muda muafaka wa kuacha kupambana na hao mashoga tuelekeze nguvu kupambana na hao wanaowafanyia hicho kitendo maarufu kwa jina la (bahasha au mabahasha) japo ni vigumu lakini itasaidia kupunguza kwa kiasi fulani kwa sababu ukipambana na hao mashoga ni vigumu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni haki za binadamu lakini pia umaskini wetu ndio chanzo cha kutokuwa taifa huru kwa maana ya kulinda mila na desturi zetu lakini pia uoga wa viongozi wetu.
Fungukeni akili zenu. Mnapewa propaganda za ushoga muangaike nazo kumbe wenzenu wanawaibia!Pole shoga
Duh mada za ushoga zimezidi JF, shida Nini? Mbona tunakuza sana mambo kuliko uhalisia. Ushoga wamefanya wao sisi yatuhusu Nini? Tudeal na matatizo yetu ya ufisadi, umasikini wa kutupwa hadi kukosa Hela za matundu ya choo, na ushirikina hayo ya wenzetu waachie wenyewe na tamaduni zao.
bro hata mie nashangaaDuh mada za ushoga zimezidi JF, shida Nini? Mbona tunakuza sana mambo kuliko uhalisia. Ushoga wamefanya wao sisi yatuhusu Nini? Tudeal na matatizo yetu ya ufisadi, umasikini wa kutupwa hadi kukosa Hela za matundu ya choo, na ushirikina hayo ya wenzetu waachie wenyewe na tamaduni zao.
Duh! Sasa ni nani anayefanya kazi ya kuhakiki na kuthibitisha hiyo mambo!!10% ndio idadi ya mashoga Marekani. Hawa wanataka gay vote. Sisi hatuna ya gay vote.
Halafu definition yao ya "shoga" ni very interesting. "Shoga" ni mtu ambaye amefanya same sex sex mara sita na kufikia kikele. Kwa definition hiyo ndio wanaipata ile 10%.
Ovyo sana wewe jamaa!Endelea kuliwa lakini sisi tumeweka msimamo hatuwezi kuruhusu muoane mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke
Bachelor's degree sexology. Wengine ni master kama wewe; wana MD Sexology. Niachemincheke.Duh! Sasa ni nani anayefanya kazi ya kuhakiki na kuthibitisha hiyo mambo!!