PreGE2025 Agenda ya utata wa Derby ya Kariakoo ni mkono wa serikali kudhoofisha mawazo ya watu kwa "No Reforms, No Election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
881
Reaction score
2,569
Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana uwezo wa kuikabili na nguvu ya hoja hiyo inavuka mipaka ya nchi.

Lakini kwa vile masikio na mawazo ya wengi huwa yako kwenye timu hizi mbili basi mgogoro wowote kati yao utavuta hisia zao.

Pia soma Pre GE2025 - Wilbroad Slaa: Hata CCM wanasema kuhusu No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona kilichofanyika Dodoma, wamevunja sheria!

Sasa hivi kila upande wa nchi ni press za wajiitao wazee wa Yanga na matamko na kubwa tamko la Rais wa TFF Karia eti kaidharau Yanga!

Mbona alipo Hersi alipowaita wala mihogo hakuna press za kumtaka ajiuzulu?

Lakini hili serikali wafanyalo kuchochea Tofranil kwa sababu zao za kujiongeza kisiasa zitaleta dharma kwa mpira wetu na kujikuta matatani na FIFA hivyo kuja kuharibu hii ajira na biashara katika mchezo huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Please wapenzi wa Yanga, msikubali kutumika kufifisha harakati za kisiasa nje ya serikali maana huo niukombozi wenu leo na watoto wenu kesho katika haki zenu. Hili wanaigharamia kwa sababu wanawadharau kuwa hata kwa mlo mmoja tuu mnaweza kurubuniwa.
 
Weakness (udhaifu) wa idara za propaganda/uenezi wa vyama vya upinzani huo. Yaani mnataka taasisi nyingine zikae kimya kwa sababu mna ajenda yenu? Kwa nini msitumie idara zenu za uenezi kuhakikisha mnakaa juu ya matukio ya nchi?

Yaani Simba na Yanga wazisuke idara zao za habari, zifanye kazi vizuri, nyie mnalalmika kwa nini zimeshika soko la mpira? Na nyie si mshike la siasa? kuna mtu kawazuia?

Baada ya John Mrema, haifahamiki kurugenzi ya habari nani anaisimamia mpaka sasa
 
Nadhani hujamuelewa wewe! Mambo mangapi serikali huwa inaingiza mkono wake ili kupush agenda zake au kuzuia za wengine? Ukilichukulia hili kwa akili ndogo huwezi kuliona athari zake.
Ukijibu hoja unapaswa kushirikisha zaidi uelewa wako badala ya ushabiki.
 
Jitahidi watu wasijue huna akili
 
Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana uwezo wa kuikabili na nguvu ya hoja hiyo inavuka mipaka ya nchi.

Lakini kwa vile masikio na mawazo ya wengi huwa yako kwenye timu hizi mbili basi mgogoro wowote kati yao utavuta hisia zao.

Pia soma Pre GE2025 - Wilbroad Slaa: Hata CCM wanasema kuhusu No Reforms No Election kazaneni hapo hapo. Mliona kilichofanyika Dodoma, wamevunja sheria!

Sasa hivi kila upande wa nchi ni press za wajiitao wazee wa Yanga na matamko na kubwa tamko la Rais wa TFF Karia eti kaidharau Yanga!

Mbona alipo Hersi alipowaita wala mihogo hakuna press za kumtaka ajiuzulu?

Lakini hili serikali wafanyalo kuchochea Tofranil kwa sababu zao za kujiongeza kisiasa zitaleta dharma kwa mpira wetu na kujikuta matatani na FIFA hivyo kuja kuharibu hii ajira na biashara katika mchezo huu.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Please wapenzi wa Yanga, msikubali kutumika kufifisha harakati za kisiasa nje ya serikali maana huo niukombozi wenu leo na watoto wenu kesho katika haki zenu. Hili wanaigharamia kwa sababu wanawadharau kuwa hata kwa mlo mmoja tuu mnaweza kurubuniwa.
Kwahiyo Wana Chadema ni mazuzu kiasi ukiwazubaisha kidogo tu, yanazubaa? Kwamba Mwana Chadema anaweza akawa anenda kwake mfano Mbezi Mwisho, ukamdanganyadanganya akaenda Kigamboni sio? Basi sawa!!!
 
Back
Top Bottom