Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Nimejifunza kituTumia akili ya kawaida tu kaka (panadol za mbeya ) aina ya mahindi mbeya songea, rukwa na iringa zikikobolewa zinatoa unga mchache ukilinganisha na mahindi ya dodoma, tani kumi za mahindi ya dodoma zinatoa unga mwingi kulinganisha na tani 10 za mbeya mahindi ya mbeya yanatoa pumba nyingi yakikobolewa pumba inazidi na soko la dsm limeshikwa na mahindi ya dodoma vitu kg 25 ya sembe super nzuri hazidi 19500/= na kg 50/=39000/- hizo ndio bei za soko,