Agent wa bidhaa za Azam/Bakhresa Group

Agent wa bidhaa za Azam/Bakhresa Group

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Katika pitapita zangu mitaani, nimegundua kuwa kuna uhitaji mkubwa kwa bidhaa ndogo ndogo kama Ice cream, koni, bisi, bites, vinywaji baridi etc etc.

Kutokana na hilo, ninataka kama itawezekana, kuwa agent wa bidhaa za Azam kama ice cream, juice, koni, maziwa etc. Ninahisi naweza ku-make fedha nzuri kupitia mradi huo kama nitafanikiwa.

Mwenye kujua taratibu za kufuatwa, naomba anijuze. Na hata mwenye mawasiliano yao, naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom