Aggressive Boss

mzeewangese

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
643
Reaction score
499
Habari Wakuu,
Hivi ushawahi fanya kazi na Agressive Boss..Ni shida kama una moyo mwepesi unaacha kazi ,pasua kichwa ,wanakondesha anataka uwe kama geogle yani swali jibu,wanakula akili sana.
Kama ushawahi kutana nao njoo tu share experience .
 
Daah acha tu mkuu kuna maboss wengine nuksi..Siku akiwa na stress zake matusi na usumbufu wote unashushiwa wewe yaani
 
Sasa usiombe ukutane na bosi mwanamke mtu mzima halaf anataka umkaze na ofisini wanakwambia tayari kaungua
 
Daah acha tu mkuu kuna maboss wengine nuksi..Siku akiwa na stress zake matusi na usumbufu wote unashushiwa wewe yaani
Mbaya sana Mkuu inauma sema unastahimili ukiangalia majukumu ndio kama hivyo.
 
nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
wahindi ndio watu rahisi sana kufanya nao kazi

wewe mlamikie tu hali ngumu mkope tu kila siku
usivae nguo mpya ukienda kazini nguo zikichakaa mkope hela ya nguo mpya

hata kama unamuibia hatachunguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…