Tetesi: Aggy wa Feitoto adaiwa kuwa Mjamzito

Tetesi: Aggy wa Feitoto adaiwa kuwa Mjamzito

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Nimekuwekea ujumbe husika na picha

FB_IMG_16563327006683247.jpg
Screenshot_20220627-152509.png
 
SASA CHA AJABU NI KIPI? Hongera Fei Toto (kama ni kweli) hupigi mashuti makali kwa simba tu hadi kitandani...
 
Huyo demu kaolewa na jamaa mmoja ,mbona yy mwenyewe aliinadi hiyo ndoa
 
Mimi sio shabiki wa mpira.
Hili jina la huyu mchezaji kila nokilisikia nilikuwa najua mwanamke sasa siku nakuja kugundua kumbe dume.
 
Madem wacheza mpira wanawapaga buree

Ova
 
Back
Top Bottom