GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,094
Jaman wadau nisaidieni kwa hili hasa doctors, kibaya ni kwamba masomo ya science mimi yalinishinda kabla sijavuka form two nilishachagua naelekea wapi, kwenda moja kwa moja kwenye mada, ninajikuta naumwa sana, nimeenda Aghakan hosp mara zaidi ya 7, nimepima malaria,uti, nikafanya mpaka FB picture kila kitu wananiambia negative, lakini nikienda maabara za kawaida wananiambia una malaria nimeenda maabara 3 tofauti kujua kwamba report itatofautiana ila kila moja inasema nina malaria 4, nikaenda agakhan ingine tofauti na nilioenda mwanzo wakaniambia 'NEGATIVE' Sasa hapa ikabidi niongee na doctor, alichoniambia nikwamba dunian hamna malaria 1,2,3 wala 4, malaria lazima zianzie 70...anasema hao walioniambia nina malaria 4 ni waongo sio kweli wamekisia tu, hebu wataalam hasa ma doctor tusaidieni kwenye hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app