AGHAKAN HOSPITAL

AGHAKAN HOSPITAL

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,785
Reaction score
3,094
Jaman wadau nisaidieni kwa hili hasa doctors, kibaya ni kwamba masomo ya science mimi yalinishinda kabla sijavuka form two nilishachagua naelekea wapi, kwenda moja kwa moja kwenye mada, ninajikuta naumwa sana, nimeenda Aghakan hosp mara zaidi ya 7, nimepima malaria,uti, nikafanya mpaka FB picture kila kitu wananiambia negative, lakini nikienda maabara za kawaida wananiambia una malaria nimeenda maabara 3 tofauti kujua kwamba report itatofautiana ila kila moja inasema nina malaria 4, nikaenda agakhan ingine tofauti na nilioenda mwanzo wakaniambia 'NEGATIVE' Sasa hapa ikabidi niongee na doctor, alichoniambia nikwamba dunian hamna malaria 1,2,3 wala 4, malaria lazima zianzie 70...anasema hao walioniambia nina malaria 4 ni waongo sio kweli wamekisia tu, hebu wataalam hasa ma doctor tusaidieni kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hospital wakijua wanaumwa nini.zaidi Pima na VVU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maambukizi ya Malaria inasemekana yamepungua sana .....
Kuna uwezekano pia na upimaji umebadilika.

Wenye elimu juu ya hili toeni maoni yenu.

Nilishapewa ushauri kuwa hospitali 2 kubwa Dar ndio zinaweza kunipa majibu ya kweli. ..mojawapo ni hiyo uliyokwenda wewe mara 7.
 
Mkuu siku hizi ukipimwa ukosekani na UTI. Malaria imepungua kama unavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waambie wakupe na majibu ya 'ngoma' maana wameshapima
 
Utakuwa na matatizo,anayetakiwa kupima kila imezima 3 ni mtu aliyekwenye risk kubwa(risk behaviour) tofauti na hapo ni kisabengo .
Hutaacha kuutafuta ugonjwa mpaka uupate! Kama si kiranga cha kuona manesi na nguo zao nn cha ziada? Tena kama ni Me ujue kuna umri wa kuumwa. Me kamili hasumbuliwi na magonjwa mpaka late 40s, na kama hukujifuja ujanani unagota 60 kabisa ndo hayo mauzauza yanaanza kuandama mwili. Kwa Ke miili yao ni delicate kidogo lakini sio kwa kiwango hicho. Labda awe awejaaliwa uzazi wa kisu ndo mambo huwa mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman wadau nisaidieni kwa hili hasa doctors, kibaya ni kwamba masomo ya science mimi yalinishinda kabla sijavuka form two nilishachagua naelekea wapi, kwenda moja kwa moja kwenye mada, ninajikuta naumwa sana, nimeenda Aghakan hosp mara zaidi ya 7, nimepima malaria,uti, nikafanya mpaka FB picture kila kitu wananiambia negative, lakini nikienda maabara za kawaida wananiambia una malaria nimeenda maabara 3 tofauti kujua kwamba report itatofautiana ila kila moja inasema nina malaria 4, nikaenda agakhan ingine tofauti na nilioenda mwanzo wakaniambia 'NEGATIVE' Sasa hapa ikabidi niongee na doctor, alichoniambia nikwamba dunian hamna malaria 1,2,3 wala 4, malaria lazima zianzie 70...anasema hao walioniambia nina malaria 4 ni waongo sio kweli wamekisia tu, hebu wataalam hasa ma doctor tusaidieni kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachotafuta utakipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutaacha kuutafuta ugonjwa mpaka uupate! Kama si kiranga cha kuona manesi na nguo zao nn cha ziada? Tena kama ni Me ujue kuna umri wa kuumwa. Me kamili hasumbuliwi na magonjwa mpaka late 40s, na kama hukujifuja ujanani unagota 60 kabisa ndo hayo mauzauza yanaanza kuandama mwili. Kwa Ke miili yao ni delicate kidogo lakini sio kwa kiwango hicho. Labda awe awejaaliwa uzazi wa kisu ndo mambo huwa mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya high risk behaviour?
 
Ushauliza umri wangu ukaujua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom