Aghalabu CHADEMA sasa ni sehemu ya uenezi wa itikadi na sera za CCM. Wanaeleza kwa unagaubaga namna ilani ya CCM inavyotekelezwa.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Angalia leo hii wanavyosifia na kueneza namna rais Samia anavyopiga kazi

Kuanzia kuongeza mishahara watumishi wa umma, kutimiza mahitaji ya wananchi kama kununua vifaa tiba na madawa. Wanasifia na kulelezea vyema

Sasa sijui ni kwa nini? Au asali imekolea kwa cheamani?
 
Nasubri comments fupi fupi za upande ule
 
Hivi we CCM gani ambaye hupendi Mwenyekiti wako akipongezwa!?
 
WAJINGA MNAZIDI KUONGEZEKA[emoji1787][emoji1787]
 
Wanaccm humu jukwaani wanaongoza kuitangaza Chadema, asanteni kwa hilo.
 
Stupid. Bango la Simba unadai ni CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…