Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Napenda kutoa taarifa.
Leo tarehe 11-8-2023 ijumaha nimetoka manzese Argentina kufanya malipo ya simu Google pixel 5 GB 128 used like new quality ni A++.
Nimefika mpk ofisini/nyumbani kwao na kukutana na ndugu yake Mr. Yusuph. Ndio kapokea pesa kwa niaba ya huyu ndugu yetu alioko DUBAI.
Hivi sasa nasubilia simu tajwa hapo juu mpk next week ndio itakua imefika tanganyika.
Naomba kuwasilisha.
Asante.
@Sal pa tusubiri huyu hapa alete mrejesho
 
mi mwnyw nasubr uthibitisho ili nifanye maamzi ya kudaka iphone hata inayomalizie maisha yke mwaka huu, maana ndy ndoto kuhaso kote nimilik iphone
Kuwa makini utatapeliwa
 
Hiyo ya kutuma pesa kwanza ndo flag inapepea hapo, ingekua huyo agent ndo ana hiyo mizigo ingekua unyama.

Ama lah agent angekua na ofisi kabisa isiyohamishika kirahisi, ila kama ni namba ya simu tu na yeye yupo tu geto inakua changamoto.

Tengeneza uaminifu mkuu kwa njia mbalimbali mkuu.
 
One Plus 11
1,050,000
 
HUAWEI P30 PRO
470,000
 
TUWAPENDE NA WATOTO WETU KIDIGITALI
LENOVO CHROMEBOOK
RAM 4Gb
STORAGE 32Gb
TOUCH SCREEN NA INAZUNGUKA X360
LAPTOP NA TABLET KWA WAKATI MMOJA
150,000 TU
IMG_20230816_161311.jpg
IMG_20230816_161324.jpg
IMG_20230816_161340.jpg


whatsapp +971582640133 (dubai)
call 0654156671 (Dar es salaam )
 
LAPTOP MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
View attachment 2717167View attachment 2717168View attachment 2717165
Hp Elitebook 840 g3
Core i5
6th generation
Ram 8gb
SSD 256gb(Unaweza kuongezewa ikawa 512gb)
BEI NI 430,000 TU
(Hapo hakuna gharama nyingne utakayo Lipia zaidi ya kusubiria laptop tu)
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
Kwa wanaohitaji kuagiza Laptop nipe model au sifa za Laptop unayohitaj nikupe bei yake.
Model za Laptop zipo nyingi sana na zina sifa tofauti tofauti
Ni ngumu kuandaa mkeka full
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
Mawasiliano zaidi whatsapp
+971582640133 (Dubai)

Call/sms 0654156671 (Ofisi dar)
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
mkuu ebu nitafutie kalaptop kokote hata used kwa 200,000 half nishtue
 
GAMING PC MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
MSI GS65
core i7 8t generation
ram 32gb storage 1Tb SSD
8gb gtx NVIDIA
RGB Light keyboard
1,500,000
Whatsapp :+971582640133
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
IMG_20230817_074728.jpg
IMG_20230817_074750.jpg
IMG_20230817_074805.jpg
IMG_20230817_074820.jpg
 
Hatufanyi biashara sisi tunafanya usafirishaji tu
Tunachomsaidia mtu ni kupata bidhaa aitakayo kutoka dubai hata kama yupo nyumbani kwake

Utaratibu wa kuoda bidhaa sijawahi ona mtu analetewa ndio analipia
Hasa kwa bidhaa zitokazo nje ya nchii..

Tushapata hasara ya watu kutaka waletewe halaf walipie
Kumbe mtu alikuwa anatest
Mengine oohh ile pesa nilikaa nayo nimetumia
Imepungua kwa sasaa

Atataka alipie kidogo hllaf uanze kumdai..
Mengi yametukuta katika njia hii uliyopendekeza...
Mkuu acahana nao hawa wapuuzi wanaoleta mapendekezo kwenye biashara za watu, mtu kama una wasiwasi bora ukae kimya tu. Mbona huko Ali Express, Amazon au Ebay watu wanalipa kabla? Watanzania tuna shida kubwa sana kichwani.
 
Mkuu acahana nao hawa wapuuzi wanaoleta mapendekezo kwenye biashara za watu, mtu kama una wasiwasi bora ukae kimya stu. Mbona huko Ali Express, Amazon au Ebay watu wanalipa kabla? Watanzania tuna shida kubwa sana kichwani.
umeeleza vizuri lkn hapo kwenye kufananisha n hao giant sikubaliani na wewe
Ali Express, Amazon au Ebay
 
Back
Top Bottom