Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Gari mtumba(used), nguo mtumba(used), simu mtumba(used).
Watanzania muombeni Mungu sana!
Ndio uwezo wa kiuchumi wa wengi miongini mwetu..

Bado tupo dunia ya tatu.wengi hawawezi mudu gharama ya kila kitu kipyaa
 
Na huu ndio ukweli.
Asanteni.
 
Sumsung A14 128gig
Bei 370000
Amenunuliwa pashkuna ameikataa anataka pixel
Simu ni mpya imetoka dukani ina siku kadhaa haijatumika coz aliyenunuliwa ameikataa hataki aina hii
Unahitaji njoo inbox
Simu ipo congo mtaa
Your browser is not able to display this video.
 
anzisha uzi wako boss wangu
Maana mimi hiyo A14 naiuza 300,000 tu
Una roho nyeusi sana mzee nisaidie kufuta coment kama umemaind

Mimi naongelea nipe nikupe
Mtu akiona simu akaridhika atatoa hela

Wewe unaongelea nipe nitakupa,
Simu iko dubizzle

370000 ni bora kuliko kutoa hata laki ambayo huna uhakika wa kupata mzigo wako kucheza kamari
wape watu uhakika wa usalama wa pesa zao me mwenyewe nahitaji simu

Ingekuwa hii ni account yako nadhani ungenishtaki
 
jamiiforums ni free
unaweza anzisha uzi wakoo.
sasa kwann udandie uzi wa mwenzio
 
Mkuu mbona umepanic,jamaa si kakwambia tu kwamba huu ni uzi wake wa matangazo anzisha na wewe utangaze,kuna shida hapo?
 
Nimemkumbuka panda sourcing sijui alikuwa anasoma CHINA....even wewe ni mwaminifu next time nakuunga mousof perfume....thank you so much kwa trust and promise you gave me....
 
Tajiri nakuona unavokereka kwa wateja wa hivi, lakini be loyal mkuu wala usifunzwe uaminifu.
 
Nimemkumbuka panda sourcing sijui alikuwa anasoma CHINA....even wewe ni mwaminifu next time nakuunga mousof perfume....thank you so much kwa trust and promise you gave me....

Karibu sana boss wangu .. mambo mazuri zaidi yanakuja
 
Samahani mkuu hizo simu used zinakuwa zimetumika kwa approximately muda ganii??
hii cats62 ni mpya na box lake...

Hakuna ajuaye muda wa simu uliotumika...ila tunaangalia ubora wakati unainunua.. kuanzia muonekano na ufanyajkazi wake..

katika huo ubora utaona kulingana wa uchakavu wa kimuonekano..
Sasa hapo ndio kuna grades A B C...

mm naleta grade A

simu haina mileage boss
 
Agiza sasa photocopier machine kwa bei nafuu sana kutoka dubai moja kwa moja
Bidhaa ni za mtumba lakini zinapiga kazi vizuri kabisa.
warrantee miezi 6
Your browser is not able to display this video.

Baadhi ya bei za bidhaa ni
xerox 6400 = 500,000
xerox 7120 = 950,000
xerox 7220 = 950,000
xerox 7225 = 950,000
xerox 5335 = 1,050,000
cannon 2520 = 1,350,000
cannon 3525i = 1,700,000
cannon 4535i = 1,900,000
cannon 4551i = 1,900,000
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ
kama unahitaji kupata taarifa zaidi nicheki
whatsapp: +971582640133

Ofisi Dar
Manzese Argentina
0654156671
NB: BEI HIYO NI MPAKA UNAPOKEA MACHINR YAKO HAKUNA GHARAMA ZINGINE UTAKAZOLIPIA
 
xerox,cannon na hp zote zinapatikana
ukiagiza kupitia sisi unaokoa laki 3 mpka laki 5

Cannon 2520 (photocopier pendwa) bongo ni 1,600,000 - 1,900,000
sisi tutakuletea kwa 1,350,000 Tu

Wasiliana nami niliyepo dubai kwa whatsapp : +971582640133

Au ofisi dar
Manzese Argentina
0654156671
πŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺπŸ‡¦πŸ‡ͺ

 
Mkuu upo Dubai au Karia Koo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…