Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huu ndio ukweli.Boss naona Unaifualitia sana hii oda
Ngoja niiweke hii clear
Na mwenyewe aje athibitishe hapa kawombe
Mdau ameagiza Google pixel 5 128gb kama alivyoeleza hapo juu
Ameletewa oda tofauti badala ya Hiyo simu google pixel 5..imekuja google pixel 4 xl 128gb..
Hakuna tatizo na amekubali hii simu tuirudishe ije google pixel 5..kama alivyotaka..
[emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256][emoji1256]
anzisha uzi wako boss wanguSumsung A14 128gig
Bei 370000
Amenunuliwa pashkuna ameikataa anataka pixel
Simu ni mpya imetoka dukani ina siku kadhaa haijatumika coz aliyenunuliwa ameikataa hataki aina hii
Unahitaji njoo inbox
Simu ipo congo mtaa
View attachment 2728944View attachment 2728945
Una roho nyeusi sana mzee nisaidie kufuta coment kama umemaindanzisha uzi wako boss wangu
Maana mimi hiyo A14 naiuza 300,000 tu
jamiiforums ni freeUna roho nyeusi sana mzee nisaidie kufuta coment kama umemaind
Mimi naongelea nipe nikupe
Mtu akiona simu akaridhika atatoa hela
Wewe unaongelea nipe nitakupa,
Simu iko dubizzle
370000 ni bora kuliko kutoa hata laki ambayo huna uhakika wa kupata mzigo wako kucheza kamari
wape watu uhakika wa usalama wa pesa zao me mwenyewe nahitaji simu
Ingekuwa hii ni account yako nadhani ungenishtaki
Mkuu mbona umepanic,jamaa si kakwambia tu kwamba huu ni uzi wake wa matangazo anzisha na wewe utangaze,kuna shida hapo?Una roho nyeusi sana mzee nisaidie kufuta coment kama umemaind
Mimi naongelea nipe nikupe
Mtu akiona simu akaridhika atatoa hela
Wewe unaongelea nipe nitakupa,
Simu iko dubizzle
370000 ni bora kuliko kutoa hata laki ambayo huna uhakika wa kupata mzigo wako kucheza kamari
wape watu uhakika wa usalama wa pesa zao me mwenyewe nahitaji simu
Ingekuwa hii ni account yako nadhani ungenishtaki
Nimemkumbuka panda sourcing sijui alikuwa anasoma CHINA....even wewe ni mwaminifu next time nakuunga mousof perfume....thank you so much kwa trust and promise you gave me....But why mfanyabiashara ujitape una account nyingi JF?
Kwa nini unaanza kujitengenezea mazingira ya Mashaka wewe mwenyewe?
Kama biashara yako ni genuine si ukaushe tu uache watu watoe maoni yao na wewe upambane na biashara yako?
Kutengeneza trust siyo kitu cha siku moja hasa kwenye huu ulimwengu uliojaa utapeli, watu wana majeraha ya kuliwa pesa zao, Hivyo ignore the negativity na uweke Sawa mazingira yako with time utaeleweka tu.
Kuna dada anaitwa panda Sourcing alianza kupost huku anaagizisha vitu kutoka China, negative comments zilikua nyingi.. ila alikua na uhakika na biashara yake .. akaweka nguvu huko.
Leo anawatu wengi tu wanaomwamin.
Tajiri nakuona unavokereka kwa wateja wa hivi, lakini be loyal mkuu wala usifunzwe uaminifu.MINYAMA MPAKA INAMWAGIKAA
Kama una mashaka usijaribu kuagiza
Wateja wenye mashaka akishatuma hrla atakupigia kila baada ya lisaa simu umepata embu nipigie picha niione...vipi umeisafirisha..
hiv sasa imefika wapi..
anataka ajue hadi anga ambalo simu ipo..
kama ipo anga la somalia ndo inakuja au ishaingia anga la kenyaa😂😂😂😂😂😂
Nimemkumbuka panda sourcing sijui alikuwa anasoma CHINA....even wewe ni mwaminifu next time nakuunga mousof perfume....thank you so much kwa trust and promise you gave me....
Oooh mousof ni bei gani kwako??Karibu sana boss wangu .. mambo mazuri zaidi yanakuja
Ambayo nitahitaji ni hii exactly.Karibu sana boss wangu .. mambo mazuri zaidi yanakuja
Hii simu mtoto wa kike lazima aikatae. Kamera mbaya kishenziSumsung A14 128gig
Bei 370000
Amenunuliwa pashkuna ameikataa anataka pixel
Simu ni mpya imetoka dukani ina siku kadhaa haijatumika coz aliyenunuliwa ameikataa hataki aina hii
Unahitaji njoo inbox
Simu ipo congo mtaa
View attachment 2728944View attachment 2728945
Samahani mkuu hizo simu used zinakuwa zimetumika kwa approximately muda ganii??CAT S62
RAM 4GB
STORAGE 128GB
300,000 TU
View attachment 2722771View attachment 2722772View attachment 2722773View attachment 2722774
AGIZA SASA MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI
Whatsapp +971582640133
ofisi dar 0654156671
hii cats62 ni mpya na box lake...Samahani mkuu hizo simu used zinakuwa zimetumika kwa approximately muda ganii??
Mkuu upo Dubai au Karia Koo?xerox,cannon na hp zote zinapatikana
ukiagiza kupitia sisi unaokoa laki 3 mpka laki 5
Cannon 2520 (photocopier pendwa) bongo ni 1,600,000 - 1,900,000
sisi tutakuletea kwa 1,350,000 Tu
Wasiliana nami niliyepo dubai kwa whatsapp : +971582640133
Au ofisi dar
Manzese Argentina
0654156671
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
View attachment 2730592View attachment 2730593View attachment 2730594