Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Hizi simu zimewekwa ving'amuzi. Agiza kwa Umakini mkubwa. Ulitaarifiwa.
 
Mkuu kwema bado nafanya uchunguzi hii machine itakua ngapi bei Dell Precision 5530
 
Tena kipigo cha mbwa koko! Huyu jamaa tapeli mno. Eti anasema bei ni ya jumla mara eti hata ukiagizia pisi moja halafu kibaya kabisa simu zipo Dubai. Yaani huyu jamaa tapeli. Moderator wafute huu uzi
Mbona mnaharibia mwenzenu uzi wake ? Kama ulishatapeliwa nae, file RB halafu iweke hapa, na ushahidi wa malipo, chatting au mawasiliano then tutaweza kumsulibu pamoja.

Ila kama tutatumia hisia za hofu kuhukumu watu wanaofanya biashara mtandaoni then ni ukorofi tu kama ukorofi mwingine lengo ni kuwaharibia wenzetu.
 
Samahani, hizo samsung zenye vidot vyeusi ndo zikoje?? Ni Samsung halisi au clone??
Kama ni halisi kwanini zinametofautishwa kwa kuwekewa vidot?
Vioo vimeweka wino. Au kwa maneno mengine ni zilipata damage.
 
GAMING PC YA KUAGIZA KUTOKA DUBAI
MPYA KAMA UNAVYOIONA
View attachment 2698850
DELL PRECISION 5520 4K
TSh 1,400,000 (ukiagiza) [emoji736]

Dar inauzwa 1,900,000 [emoji777]
Core i7 7th Gen
HQ
RAM 32 GB
512 GB SSD
15 inc Display Touch Screen 4K UHD
4 GB Dedicated Graphics Nvidia
Keyboard light
Fingerprint Lock
HDMI
USB Type C
Neat and clean
Window 10 Pro upgradable
MS office
Metal build
Ultra Slim
BEST for Gaming and editing
Whatsapp : +971582640133 (dubai)
Dar es Salaam : 0654156671 (agent)
Hivi Samsung Galaxy S23 ultra, naweza pata kwako?
 
HIZI NI BEI KUTOKA DUBAI MOJA KWA MOJA (UPDATED 06-09-2023)

IPHONE
iphone 6-64gb = 180,000
iphone 7 128gb = 250,000
iphone 7 PLUS 128gb = 320,000
iphone 8 64gb = 320,000
iphone 8 256gb = 370,000
iphone 8 PLUS 64gb = 420,000
iphone 8 PLUS 256gb = 480,000
iphone X 64gb = 500,000
iphone X 256gb = 540,000
iphone XS 256gb = 600,000
iphone XR 64gb = 520,000
iphone XR 128gb = 580,000
iphone XS MAX 256gb =700,000
iphone 11 64gb = 700,000
iphone 11 128gb = 780,000
iphone 11 PRO 256gb = 950,000
iphone 11 PRO MAX 256gb = 1,050,000
iphone 12 pro 128gb = 1,100,000
iphone 12 PRO 256gb = 1,300,000
iphone 12 PRO MAX 256gb = 1,500,000
SAMSUNG
A31 ram4/128gb = 210,000
A32 ram 4/128gb = 240,000
A51 256gb = 350,000
A51 4g 2sim = 310,000
A9 PRO ram 6/128 gb = 280,000
A90 5G ram 6/128 gb = 320,000
A82 ram 4/128 gb = 510,000
A23 5g ram 4/128 gb = 320,000
M23 ram 4/128 gb = 300,000
A22 5g ram 4/128 gb = 290,000
S8 ram 4/64gb = 210,000
S8 PLUS ram 4/64gb = 250,000
S9 ram 4/64gb = 270,000
S9 PLUS ram 6/64gb = 300,000
S10 ram 8/128gb = 390,000
S10 PLUS ram 8/128gb = 440,000
S10 5G ram 8/256gb = 490,000
S20 ram 12/128gb = 440,000
S20 PLUS ram 12/128gb = 480,000
S20 ULTRA ram 12/128gb = 520,000
S21 ram 8/128gb = 590,000
S21 PLUS ram 8/128gb = 620,000
S21 ULTRA ram 12/128gb = 900,000
S21 ULTRA ram 12/256gb = 1,000,000
S22 ultra 128gb = 1,400,000
S22 ULTRA 256gb = 1,500,000

SAMSUNG NOTE
NOTE 8 ram 6/64gb = 280,000
Note8 2sim = 300,000
NOTE 9 ram 6/128gb = 330,000
NOTE 10 256gb = 430,000
NOTE 10 PLUS 12/256gb = 560,000
NOTE 20 ram 12/128gb = 490,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/128gb = 800,000
NOTE 20 ULTRA ram 12/256gb = 950,000

DOT PHONES
(SAMSUNG ZENYE VIDOT VIDOGO VYEUSI KWENYE KIOO ILA ZINAFANYA KAZI VIZURI TU )
S10 5G = 410,000
S10E = 280,000
S10 = 300,000
S10 PLUS = 320,000
S20 = 380,000
S20 PLUS = 440,000
S20 ULTRA = 480,000
S21 ULTRA = 680,000
NOTE 8 = 280,000
NOTE 9 = 330,000
NOTE 10 = 380,000
NOTE 10 PLUS = 480,000
NOTE 20 ULTRA = 650,000
GOOGLE PIXEL
pixel 4 128GB - 300,000
pixel 4A 128GB - 350,000
pixel 4A 5g 128GB - 450,000
pixel 4XL 64GB - 400,000
pixel 4XL 128GB - 450,000
pixel 5 128GB - 490,000
pixel 5A 128GB - 550,000
pixel 6 128GB - 590,000

KWA MAWASILIANO ZAIDI YA JUU YA NAMNA YA KULIPIA NA KUPOKEA MZIGO WAKO
WHATSAPP +971 52 679 5180
CALL/SMS 0654 156671 (Ofisi Manzese Argentina Dar es Salaam)
SIMU TUNASAFIRISHA KWA NJIA YA NDEGE NDANI YA SIKU 5-7 TU USHAPATA SIMU YAKO
KWA MAWASILIANO ZAIDI YA JUU YA NAMNA YA KULIPIA NA KUPOKEA MZIGO WAKO
Hivi hizi simu zenye Dot huwa zinakuaje kwa mwenye kujua
 
Back
Top Bottom