Siwez kukukatalia matapeli wapo..Tena kipigo cha mbwa koko! Huyu jamaa tapeli mno. Eti anasema bei ni ya jumla mara eti hata ukiagizia pisi moja halafu kibaya kabisa simu zipo Dubai. Yaani huyu jamaa tapeli. Moderator wafute huu uzi
Chagua simu dogoNakazia
Samsung note 9Chagua simu boss
Tuambie ulitapeliwa vipi
Tumia utaratibu utakaomhakikishia mteja usalama wa pesa yake!! Usitegemee mtu na akili yake akatuma pesa kwa mtu bila security yoyote kwa pesa yake!Siwez kukukatalia matapeli wapo..
Ila mimi hapa jamnii forums nina mwaka wa 9 huu since 26-09-2014
Nauza na kununua bidhaa hapa hapa
Nimepata fursa ya kufika dubai sasa nimeona niwashirikishe..
SIWEZI KUKUPINGA UTAPELI UPOO
Aseme mode of payment kwanza, wengine kununua simu hadi tuvunje vibubuChagua simu dogo
Mwambie atupe utaratibu wa malipoSamsung note 9
Andika gharama za usafirishaji kwa kila pisi 1 au unasafirisha bure?SIMU TUNASAFIRISHA KWA NJIA YA NDEGE NDANI YA SIKU 1 - 3 TU USHAPATA SIMU YAKO
NITAKUAGIZIA KWA UAMINIFU MKUBWA
iphone 20
Kama unajua kuwa utapeli upo je wewe unajitofautishaje na hao matapeli? au watu watakutofautisha vipi na hao matapeli? Kuna mtu anaweza kudai yuko Dubai kumbe ni Dubai ya "kwa Azizi Ally" au "kwa mtogole"!! Hii bongo ina mambo mengi sana!! Lazima uweke guarantee fulani kulinda pesa ya watu!!Siwez kukukatalia matapeli wapo..
Ila mimi hapa jamnii forums nina mwaka wa 9 huu since 26-09-2014
Nauza na kununua bidhaa hapa hapa
Nimepata fursa ya kufika dubai sasa nimeona niwashirikishe..
SIWEZI KUKUPINGA UTAPELI UPOO
usijali auntie ntakuboost kidogoAseme mode of payment kwanza, wengine kununua simu hadi tuvunje vibubu
Hajibu ngoja nimlukie hewaniMwambie atupe utaratibu wa malipo
Tena kipigo cha mbwa koko! Huyu jamaa tapeli mno. Eti anasema bei ni ya jumla mara eti hata ukiagizia pisi moja halafu kibaya kabisa simu zipo Dubai. Yaani huyu jamaa tapeli. Moderator wafute huu uzi
Hawezi kukosa kuliza mtu!!Kuna watakaopigwa Kizembe
Huogopi kupigwa tena?😁Hajibu ngoja nimlukie hewani
Anawaza atumie gia ipi kuwamudu anaodhani wanaorushia mchanga "kitumbua chake"!! Ila ajue kuwa hawarushii mchanga kitumbua chake bali wanahofia kulizwa!!Hajibu ngoja nimlukie hewani
Malipo ni baada ya kupokea mzigo nadhaniSasa pesa watumiwaje?
Thubutu!!!! unadhani yasiyodhanika!!Malipo ni baada ya kupokea mzigo nadhani