Phone4Sale Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla

Tunasubuli mkuu...
 
Kwahy Samsung s21 naipata kwa 600k, hy simu ipo kwa huyo agent wako wa Dar ili kesho nikaichukue.?
Hiyo ni yenye dot kweny screen
Mkuu Simu unalipia
Ndio unaagiziwa...
 
Google pixel 6 bei gan
 
Hii ndiyo njia sahihi
Atumie mtaji wake alete mzigo watu tukachukue hakuna lawama
Ukifungua ofisi... Inakuwa biashara
Ushuru utaongezeka.. Na gharama zitaongezeka
Pia utanihitaji mm nizinunue ndio uje uchukue (Mtaji kikwazo)

Kinachofanyika hapa ni Simu unaagiza inakuwa inasafirishwa kama bidhaa ya matumiz yako binafsi.. Ndo maana bei zinapoaaa
 
Hiyo ni yenye dot kweny screen
Mkuu Simu unalipia
Ndio unaagiziwa...
Kwakweli kwa hapo bora biashara ife tuu, siwez kulipia pesa yote hy afu simu niisikilize mana hizi biashara za mitandaoni siwezi kuiamini hata siku moja.
Mana hapo kunakuwa hakuna maana ya kuwa na huyo agent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…