Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Imagine unapigwa 500k ambayo ni mshahara wako wa miezi kumi 😂I'm sorry to say this but nikuhakikishie tu hutapata wateja kwa style hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine unapigwa 500k ambayo ni mshahara wako wa miezi kumi 😂I'm sorry to say this but nikuhakikishie tu hutapata wateja kwa style hiyo.
Si nitaumwa kichaa ghafla🤣Imagine unapigwa 500k ambayo ni mshahara wako wa miezi kumi 😂
Sijawahi kwenda kwa mganga lkn siku hiyo itabidi tuu, mtoa mada namgeuza mendeSi nitaumwa kichaa ghafla🤣
Je akiwa na id mbili, nyingine ikaja kutoa ushuhuda wa kupokea mzgo.Atakayefanikiwa kupata huduma ya mtoa mada asisahau kuleta mrejesho ili na sisi tupigwe ndoinge 😂
Acha kuharibu biashara za watuMtapigwa, msiseme hamkuambiwa
Acha kuharibu biashara za watu
Nataka watu kadhaa, sio mtu mmoja. N bora tupigwe wengi kuliko pekee yangu 😂Je akiwa na id mbili, nyingine ikaja kutoa ushuhuda wa kupokea mzgo.
🤣
Mtoa mada hii pia ni ID yako nyngn.?Acha kuharibu biashara za watu
Kwahy naweza kupata samsung s21 kwa 600k.?Samahani kwa kuingilia uzi wako mkuu.
simu tajwa apo juu [Oppo, Vivo, iPhone, Samsung, na Sony] zinapatikana Dukani kwetu kwa bei iyoiyo.
Utofauti tu ni kuwa sisi hatufanyi delivery nje ya Dar unless iwe ni kwa makubaliano maalum..
Tupo kariakoo mtaa wa Aggrey jengo la china plaza floor ya pili📍
0676721373 ☎️
Pasina shaka yoyote mkuu, karibuKwahy naweza kupata samsung s21 kwa 600k.?