Agiza tangawizi kutoka kwetu kwa wingi wowote ule! Karibu tufanye biashara

Agiza tangawizi kutoka kwetu kwa wingi wowote ule! Karibu tufanye biashara

Joined
May 12, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Nipo Mkoa wa Kigoma, ambako tangawizi inapatikana kwa wingi. Kama unatoka mkoa mwingine na unatafuta chanzo cha uhakika cha tangawizi kwa ajili ya biashara, tufanye biashara! 🤝

Unachohitaji ni kufuatilia soko lako, kisha wasiliana nami na uagize kiasi unachohitaji—hata kama ni tani kadhaa. Tutakusaidia kupata tangawizi kwa wakati na kwa kiasi kinachohitajika.

📲 WhatsApp: 0712 351 799
📞 Simu: 0772 224 344
 
Back
Top Bottom