hutaki_unaacha
New Member
- Aug 10, 2022
- 3
- 1
Bi b nae msumbufu kweli iv mwenge ni moja ya nembo ya taifa sasa iyo tznite yake ya nini tatzo ana roho mbaya sana ndani yake tofauti na anavo onekanaWakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya.
Je, TANROADS wamepuuza?
Ama ni dharau kwa mamlaka?
Halafu ulikuwa unaniuliza jambo lipi Samia kaagiza halafu halijatekelezwa.Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..
Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?
Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?
Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?
Source :ITV Habari.
Kunamambo ya msing alipaswa kusema na kutoa maagizo siku hiyo kuliko hilo alilo litakaRais mdebwedo huu ndio wakati wa kukiwasha.
Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..
Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?
Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?
Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?
My Take.,
Je Watanzania wanatakiwa kupelekwa puta kama Punda ndio wanaelewa SoMo?
Source :ITV Habari.
Amenyamaza na hatowajibu. Yeye kaona sawa, ninyi wapuliza filimbi ndo mnaona amedharauliwa!!!!Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..
Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?
Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?
Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?
My Take.,
Je Watanzania wanatakiwa kupelekwa puta kama Punda ndio wanaelewa SoMo?
Source :ITV Habari.
Mtajuana wenyewe na chama chenu pendwa....Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..