Agizo la Rais Samia kuondoa Mwenge kwenye daraja la Tanzanite limepuuzwa?

hutaki_unaacha

New Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya.

Je, TANROADS wamepuuza?

Ama ni dharau kwa mamlaka?

8BE3B467-36D6-488E-8F3F-013A5ACD34D8.jpeg
 
Sauti yenyewe sio ya mamlaka, sasa nani ahofie.!
 
Hakuona design ya huo mwenge awali hadi aje kutoa tamko kitu kimekamilika!
 
Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya.

Je, TANROADS wamepuuza?

Ama ni dharau kwa mamlaka?

Bi b nae msumbufu kweli iv mwenge ni moja ya nembo ya taifa sasa iyo tznite yake ya nini tatzo ana roho mbaya sana ndani yake tofauti na anavo onekana

KWA mfano barabara ya morogoro anataka tuweke nini

Daraja la nyerere anataka waweke nn

Tasisi ya moyo ya kikwete anataka tuweke nini

Kinacho muuma ni kwamba mwenge ilikuwa nembo ya magufuli .
 
Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..

Je, TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?

Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?

Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?

My Take:

Je, watanzania wanatakiwa kupelekwa puta kama punda ndio wanaelewa Somo?

Source :ITV Habari.
 
Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..

Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?

Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?

Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?

Source :ITV Habari.
Halafu ulikuwa unaniuliza jambo lipi Samia kaagiza halafu halijatekelezwa.
 
Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..

Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?

Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?

Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?

My Take.,

Je Watanzania wanatakiwa kupelekwa puta kama Punda ndio wanaelewa SoMo?

Source :ITV Habari.

Mkuu amri hutolewa kwa maandishi (executive order) au sheria ya Bunge! Maneno mengine yoye huwa ni maoni tu, hata kama yanatolewa na mtu mwenye mamlaka ya juu sana!!

Na tukiendelea hivi bila kutengeneza sheria na amri zilizoandikwa, itakuja siku maoni ya watu wakubwa wote yatakuwa hayana msingi wala maana!! Nchi ya kidemokrasia hutengeneza sheria ili kuondoa amri za maneno (madikteta hutumia hii).
 
Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..

Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?

Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?

Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?

My Take.,

Je Watanzania wanatakiwa kupelekwa puta kama Punda ndio wanaelewa SoMo?

Source :ITV Habari.
Amenyamaza na hatowajibu. Yeye kaona sawa, ninyi wapuliza filimbi ndo mnaona amedharauliwa!!!!
 
Mapema mwezi wa 3 Rais Samia alitoa maelekezo ya kuondoa Nembo ya Mwenge kwenye daraja la Tanzanite lakini hadi sasa baada ya miezi 5 kupita hakuna kilichofangika..

Je TanRoads na Wizara ya Ujenzi wamepuuza Maelekezo ya Rais?

Ikumbukwe Rais hatoi maelezo bali amri sasa inakuaje amri zinapuuzwa?

Leo pia katoa maelekezo kwa Polisi ya kutokamata watu bila ushahidi,kama Raia wamepuuza je Hawa Askari si ndio watadharau mazima?

My Take.,

Je Watanzania wanatakiwa kupelekwa puta kama Punda ndio wanaelewa SoMo?

Source :ITV Habari.
Mtajuana wenyewe na chama chenu pendwa....
 
Back
Top Bottom