W Wasomba JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 418 Reaction score 568 Sep 28, 2021 #1 Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.