Agizo;shule zilizofikia asilimia 70 ya ujenzi zisajiliwe. Na wanafunzi waanze kusoma..tunafungua tar 8 mjuuee....

Agizo;shule zilizofikia asilimia 70 ya ujenzi zisajiliwe. Na wanafunzi waanze kusoma..tunafungua tar 8 mjuuee....

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nilikuwa namsikiliza waziri husika kwenye its akiwa na viongozi mbali mbali wa elimu na wilaya

kilichonishtua kidogo n mh waziri kutangaza leo mwende mkahakikishe shule zote zilizofioia asilimia 70 zianze maramoja jtatu

mmh sijajua usajili wa shule unatumia mdagani

nimewaza tu kwamaana hio walemabwana wamepewa jpili tu..kuifanyia kazi

jtatu shule zianze kutumika.....
 
Halafu unakuta hakuna madawati ya kutosha hao wanafunzi au yapo kwa fundi, hakuna meza na viti vya Waalimu

Haladu Shule zinapelekewa mpaka watoto 400 kwa shule za mjini
 
Hili agizo Waziri alitakiwa kulitoa tangu ck shule zilipofungwa mwaka jana, kulisema ck mbili kabla ya shule hazijafunguliwa, siyo sawasawa, aidha anataka kuwapa lawama zisizo na msingi wale aliyowaagiza, au analitumia kama mtaji wa kisiasa
 
Hyo inaonesha ni kwa jinsi gani asivyo serious hapo usumbufu utakua kwa wakuu wa shule na ma MEK ifike mahala Hawa jamaa wajiheshimu
 
Huu utaratibu huwa siuelewi kabisa hivi kwanini madarasa yasijengwe ya kutosha kuliko kila shule zinapokaribia kufunguliwa ndiyo nyimbo za ujenzi wa madarasa mara madawati ndiyo zianze

Inashindikana vipi kufanya utafiti kujua kila mwaka kuna ongezeko la kiasi gani la wanafunzi wanaohitimu drs la saba ili vyumba vya madarasa vijengwe kuwaaccomodate hao wanafunzi pindi wanapojiunga na sekondari bila hizi kelele za kila mwaka!! Ni aibu sana
 
Haya ma shule ya serikali tabu tupu
 
Back
Top Bottom