Hyo inaonesha ni kwa jinsi gani asivyo serious hapo usumbufu utakua kwa wakuu wa shule na ma MEK ifike mahala Hawa jamaa wajiheshimuHili agizo Waziri alitakiwa kulitoa tangu ck shule zilipofungwa mwaka jana, kulisema ck mbili kabla ya shule hazijafunguliwa, siyo sawasawa, aidha anataka kuwapa lawama zisizo na msingi wale aliyowaagiza, au analitumia kama mtaji wa kisiasa