Agnes Masogange: Keep calm msiache kuongea

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya tetesi kuvuma kama moto wa kifuu kuhusu ishu ya Agnes Gelard,maarufu kama Agnes Masogange kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Africa Kusini,yeye mwenyewe kaibuka kwenye mtandao wa instagram masaa matatu yaliyopita na kukanisha uvumi huo ambapo aliandika kwenye ukurasa wake KEEP CALM MSIACHE KUONGEA.

Duh kama ni kweli kama yeye alivyosema basi wabongo tumetisha kwa umbea aiseeh....mmh hatari

SOURCE:INSTAGRAM
 
Ngoja wajuzi waje watudadafulie.

Ila Tanzani kuna Viwanda Vya Uongo!!!!
 
Boy friend wake ndio katuma hiyo msg instagram kutumia akaunti ya demu wake 'agness masognage'?.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakuu agnes masogange ni nan huyu mbona ni maarufu sana? naomba mwenye kujua anieelezee , binafs mara ya kwanza kumuona huyu gash ilikuwa kwenye web ya tubidy.com kule nilikua nataka kupakua nyimbo ya bell 9- Masogange Mara Nikaziona Clip Za Video Za Huyu Dada Akiwa Anakata Mauno huku kawekewa nyimbo ya sam wa ukweli. Sasa naomba kujua ni shughuli gan bongo anazipiga mpaka ni maarufu ivi
 
Majangaa....au kuna mtu anatumia cm yake kuua soo!

Kumbe umemuona kwenye video??,mi nilijua humjui kabisa,sasa umeshamuona na kumsikia sana unatak kujua nn tena
 
Labda athibitishe mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni kweli Agnes kakamtwa na kuna mtu wake wakaribu ndo anatumia simu yake kupumbaza watu. Hata hivyo police huku sauz wana njaa ukiwapa hela wanakuruhusu utumie simu. Subirini mkanda mzima unakuja soon. Rummly, Kinje na wengine mnajijua mnaponza watoto wa watu
 

weka hyo page ya instigram ndo habari ikamilike vinginevyo na wewe unamfanyia promo
 
kwani kuhack account ya mtu ni kazi kubwa kwa wataalam wa IT?

Agnes Masogange yuko behind the bars.
 

Kama Kinje anahusika basi hata baba yake anajua,ni aibu kwa babu kumrusu mwanae aharibu watoto wa wenzie,huku akitoa mapovu jukwaani na kujifanya anatetea usawa na utu wa waTZ,kumbe ndio maana Kyline alimkimbia kumbe jamaa ni Pablo Escobar wa Bongo,kwanza anatumia hela zetu zile za Ubungo terminal na za ushuru wa kupaki magari
 
Huko mnapokimbilia sio kuzuru..... Waliotoka kimaisha kwa njia hyo ni wenye bahati zao..... Kama mpaka SABC wamethibitisha yaliotokea huko, sio umbea tena... bali ni facts. Tuombe diplomatic relation zetu na SADC zifanye kazi, maana nchi za watu dah.... Ni hii iwe funzo kwetu....:tape:
 
Hii ndo bongo bwanaaa kila mtu ni mwandishi wa news, kila mtu ni mwanasiasa, kila mtu ni mwalimu

Ongezea kiila mtu ni mchambuzi, kila mtu ni mwanaharakati, kila mtu ni kocha, kila mtu ni mshauri wa serikali, kila mtu ni blogger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…