warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Baada ya tetesi kuvuma kama moto wa kifuu kuhusu ishu ya Agnes Gelard,maarufu kama Agnes Masogange kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Africa Kusini,yeye mwenyewe kaibuka kwenye mtandao wa instagram masaa matatu yaliyopita na kukanisha uvumi huo ambapo aliandika kwenye ukurasa wake KEEP CALM MSIACHE KUONGEA.
Duh kama ni kweli kama yeye alivyosema basi wabongo tumetisha kwa umbea aiseeh....mmh hatari
SOURCE:INSTAGRAM
Duh kama ni kweli kama yeye alivyosema basi wabongo tumetisha kwa umbea aiseeh....mmh hatari
SOURCE:INSTAGRAM