wakiambiwa watoke wenye makalio makubwa na yeye atatoka??????
Mkuu hawezi kuwazidi wanawake wengi tu ila yake yako kwenye mpangilio mzuri hilo nafikiri halina shaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakiambiwa watoke wenye makalio makubwa na yeye atatoka??????
Maisha haya.....muda mwingine naonaga bora na hii flat screen yangu.....
Maisha haya.....muda mwingine naonaga bora na hii flat screen yangu.....
Cheka tu ndugu maisha yenyewe haya....Ki kie kie kie kie sister umenichekesha
Yaani badala ya kusema Mungu ndo kila kitu anasema makalio ngoja siku yakatike
Mwaya tuko wengi.....Hahaha asante dada nikajua ni mm peke yangu, umenipa moyo
Unadhani wanakumbuka kuwekeza kwenye vitu muhimu.....wao ni bata na kubadili nguo...Bora amegundua mapema kuwa Makalio ndiyo asset pekee aliyo nayo.Hivyo ajitahidi aanze kuwekeza kwenye vitu vingine ilhali bado muda upo....
Kwani baada ya ile ishu ya south africa bado anauendeleza upunda..?
Kama ndiyo hvyo bora hizi flat screen zetu....hazina mvuto....