Hilo unalosema ni Kweli haijalishi ila wanasema flat Screen haina msisimko kama ilivyo tv ya chogo....
Me napenda flat nijali basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo unalosema ni Kweli haijalishi ila wanasema flat Screen haina msisimko kama ilivyo tv ya chogo....
Nshapata majibu....
Nshapata majibu....Ngoja nikaoge, nikirudi ntakwambia. hehehehe
Ulikuwa Unategea.....ndo natoka kuoga sasa hivi, hilo jibu ndo hilohilo
Si hapo sura umeonyesha...Sijui wengine tutaonyesha ninii duuu
Sijui wengine tutaonyesha ninii duuu
Hata vigimbi vinatosha.
Maisha haya.....muda mwingine naonaga bora na hii flat screen yangu.....
Ni kweli....Mungu mwema sana....Hongera na hako ka flat screen kako maana hata watu hawakufatiliii na kukuandika
Hongera na hako ka flat screen kako maana hata watu hawakufatiliii na kukuandika
Maisha haya.....muda mwingine naonaga bora na hii flat screen yangu.....