Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Yote feki tu.Sanchi ndy kiboko Yao wote hao
Ova
Viongozi wetu wenyewe wanawazimikiaaa hao n'a kuwapitiaaa kimya kimyaaaHiyo battle inasaidia nini kwenye Tanzania ya viwanda?
YOU sure??Viongozi wetu wenyewe wanawazimikiaaa hao n'a kuwapitiaaa kimya kimyaaa
Ova
Wanasaidia kupunguza stress za makinikia..!Hiyo battle inasaidia nini kwenye Tanzania ya viwanda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aseeh kumbeWanasaidia kupunguza stress za makinikia..!
Yes!. Wewe hujui.Mbunge mmoja juzi katamka wazi kuwa amaa kweli wema sepetu ni kifaa alikuwa kazoea kumuona kwenye picha sasa kamuona mbashashara bungeni. Acha masihara wewe Mungu ni fundi.YOU sure??
Haya sawa mkuuYes!. Wewe hujui.Mbunge mmoja juzi katamka wazi kuwa amaa kweli wema sepetu ni kifaa alikuwa kazoea kumuona kwenye picha sasa kamuona mbashashara bungeni. Acha masihara wewe Mungu ni fundi.
Mkuu acha masihara huyo binti wa uhuru hana urembo wowote sema huo msambwanda tu ndio mashallah. In fact huku mtaani kwetu kina chakubimbi na chausiku nao kwa misambwanda tu hawapo nyuma sema wamekosa kiki na exposure tu kama za huyo mtoto wa uhuru.
All in all kwa uzuri tu Aggy is far cutter than her.
Nimekutana na hii battle Agnes Masogange Vs Corazon Kwamboka. Wote ni watoto warembo
Ila kura yangu na karata yangu naitupa kwa Agnes Masogange, Mtoto ni mrefu kaumbika wenye wana sema Amejaliwa. Hukisikia Laki Sio Pesa mbele ya warembo hawa.
Alafu msomiSanchi ndy kiboko Yao wote hao
Ova
kabisaSanchi ndy kiboko Yao wote hao
Ova