Agnes Masogange Tanzania VS Corazon Kwamboka Kenya

Agnes Masogange Tanzania VS Corazon Kwamboka Kenya

Corazon juu....beauty and brains..this lady is a lawyer and also a sociate
a460593c77180329c6c193ac898467aa.jpg
 
Masogange alojengewa nyumba na Daud Bashite kule makongo juu au Masogange yupi jamani
 
Weee Corazon ana hips na sio tako... Masogange habari nyingine
 
Mkuu acha masihara huyo binti wa uhuru hana urembo wowote sema huo msambwanda tu ndio mashallah. In fact huku mtaani kwetu kina chakubimbi na chausiku nao kwa misambwanda tu hawapo nyuma sema wamekosa kiki na exposure tu kama za huyo mtoto wa uhuru.

All in all kwa uzuri tu Aggy is far cutter than her.
 
Nimekutana na hii battle Agnes Masogange Vs Corazon Kwamboka. Wote ni watoto warembo

Ila kura yangu na karata yangu naitupa kwa Agnes Masogange, Mtoto ni mrefu kaumbika wenye wana sema Amejaliwa. Hukisikia Laki Sio Pesa mbele ya warembo hawa.


charity begins at home, sema hao mbwe mbwe nyingi ila kwenye 6x6 hamna kitu mpaka unajiuliza kweli yaliyomo yamo.
Uombe radhi pia kwa kuharibu swaumu za watu
 
Back
Top Bottom