Agness masogange anaswa live na bwana wa jack

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
1masooz.jpg
Agness Masogange akirusha nyavu haikosi.

Wakati huu imemnasua Jux, bwanake Jack Patrick, Juma Khalid a.k.a Jux.

Kulingana na chanzo kilichowanasua wawili hao, walionekana wakitembea sako kwa bako mitaa ya Sinza Kamanyola jijini Dar.

Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.

Masogange alipohojiwa kuhusu uhusiano wake na Jux alidai "Wala hakuna lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa tunabadilishana mawazo tu."

Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
 
conecting dots jack clif.........kakamatwa na madawa ........agnes masogange kakamatwa na madawa.........agnes na jack..........wamezoeana na jux...........jux ndo pusher
 
Huyo jux kaajiliwa kazi yake ni kusindikiza punda sokoni. Jogoo wa kuchora tuu huyo hadonoi wala hawiki.
 
We ibrahim mmbea sana wewe kama unafanya kazi saluni kinondoni. Sasa hapo tatzo liko wapi?
 
ilo duka kamanyola inabidi lifatiliwe kwa ukaribu zaidi nahisi kuna kitu!! maana zishawahi kuwekwa picha humu mitandaona kuwa jack na huyo masogange walikutana katika ilo duka
 
Hao wote ni punda wa zizi moja na mfugaji wao ni moja.
 
We ibrahim mmbea sana wewe kama unafanya kazi saluni kinondoni. Sasa hapo tatzo liko wapi?

Deo kwani wataka uwe ukiongelewa kuhusu wewe? Mi napasha stori za mastaa peke yake. Sina muda wa kupoteza wakati nikiweka habari za watu wasiojulikana. Sawa mkubwa?
 
Safi sana Jux naona una-roll na mapunda bado wewe kitanzi kinakusubiria huko china...usijidanganye kumeza kete oh oh utapotea!!
 
Deo kwani wataka uwe ukiongelewa kuhusu wewe? Mi napasha stori za mastaa peke yake. Sina muda wa kupoteza wakati nikiweka habari za watu wasiojulikana. Sawa mkubwa?

Issue sio kuongelewa star wala moon. Issue story yenyewe imekaa kikike kike (kiumbea umbea). Kuna uwezekano kuwa kweli unafanya kazi hair dressing salon kinondoni. Star bongo..! Mastar wapo mamtoni.
 
Imekaa kimbea mbea lakini si wee ni mmoja wao uliyeongeza idadi ya kuisoma,,,kama kichwa kilikuwa chaongea kiumbea ungeliipuuza kutoka mwanzo na si kuisoma halafu kuchangia
 
View attachment 131325
Agness Masogange akirusha nyavu haikosi.

Wakati huu imemnasua Jux, bwanake Jack Patrick, Juma Khalid a.k.a Jux.

Kulingana na chanzo kilichowanasua wawili hao, walionekana wakitembea sako kwa bako mitaa ya Sinza Kamanyola jijini Dar.

Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.

Masogange alipohojiwa kuhusu uhusiano wake na Jux alidai "Wala hakuna lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa tunabadilishana mawazo tu."

Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.

Chanzo AGNESS MASOGANGE ANASWA LIVE NA BWANA WA JACK- bkuHABARI

me nilisikiaga kuwa jux ni punga zeze..sasa wewe unavyoniletea taarifa hizo mm nakuwa kama sikuelew hiv..
 
Sasa wewe fikiria mwenyewe kupanuliwa na kusokomezwa vipipi kwenye 0713 na kupigwa mjengo kuna tofauti gani?
 
sitaki kufikiria mkuu..maana nikifikiria 2 nahic kwenda kumuomba mzigo!
 
Back
Top Bottom