Agness Masogange Aweka Picha Mpenzi Wake Mtandaoni

verified user

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
35
Reaction score
2

Hatimaye Agness Gerald au Agness Masogange ameamua kuachia picha za waubani wake ila mumfam na muache kumsumbua. tazama picha hizo hap chini

Atuonyeshe wote bana kwani ni huyo tu!!!!!!!!!!!
 
Anhaaaa namfahamu sana huyu kaka anafanya biashara ya kuuza firigisi peke yake,shingo peke yake,paja peke yake,kidali peke yake, pale buguruni.
 
Huyu dogo ndo pekee anayepewa ule mzigo wa kule behind?......
'
 
Sasa kuonesha mupenzi ndio kuwakata maini mbona kuna mtangazaji wa TBC jina limenitoka anaheshima zake analalamika full kutongozwa kila siku.Ndio huyo kicheche mwanzo mwisho.................
 
Anhaaaa namfahamu sana huyu kaka anafanya biashara ya kuuza firigisi peke yake,shingo peke yake,paja peke yake,kidali peke yake, pale buguruni.

Kifesi (heaven on desert)anasema unatumia jina lake ili upate kiki ila we umeliandika kikolon humu wanadhani nawewe ni HOD!!!!
 
Kifesi (heaven on desert)anasema unatumia jina lake ili upate kiki ila we umeliandika kikolon humu wanadhani nawewe ni HOD!!!!

kikubwa kipi alichonacho mpaka nipate kiki kupitia jina lake mimi ni kiface nikiwa nina maana ya kisura,yeye ni kifesi sijui anamaanisha nini....kwanza najuuuuta kutumia hiyo ID kama kuna namna ya kubadilisha nielekezeni.
 
Alishaweka picha ya jamaa msouth akasema mpenzi wake
juzi kati imewekwa picha ya mdosi mpenzi wake
linex nae...
leo tena...
 
Alishaweka picha ya jamaa msouth akasema mpenzi wake
juzi kati imewekwa picha ya mdosi mpenzi wake
linex nae...
leo tena...

Shosti halafu yule muhindi anafanana kama yale majambazi ya kwenye movie za kihindi teh teh
 
kikubwa kipi alichonacho mpaka nipate kiki kupitia jina lake mimi ni kiface nikiwa nina maana ya kisura,yeye ni kifesi sijui anamaanisha nini....kwanza najuuuuta kutumia hiyo ID kama kuna namna ya kubadilisha nielekezeni.

Kikubwa alichonacho ni kua karibu na domo na kumpiga picha domo,,na kusafiri nae kwa ndege, basiiii
Badilisha shostii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…