verified user
Member
- Jan 6, 2014
- 35
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu utakuta anapewa mbele wanao chokora huko behind ni wenginee wale manguliiHuyu dogo ndo pekee anayepewa ule mzigo wa kule behind?......
'
Anhaaaa namfahamu sana huyu kaka anafanya biashara ya kuuza firigisi peke yake,shingo peke yake,paja peke yake,kidali peke yake, pale buguruni.
Kifesi (heaven on desert)anasema unatumia jina lake ili upate kiki ila we umeliandika kikolon humu wanadhani nawewe ni HOD!!!!
Alishaweka picha ya jamaa msouth akasema mpenzi wake
juzi kati imewekwa picha ya mdosi mpenzi wake
linex nae...
leo tena...
kikubwa kipi alichonacho mpaka nipate kiki kupitia jina lake mimi ni kiface nikiwa nina maana ya kisura,yeye ni kifesi sijui anamaanisha nini....kwanza najuuuuta kutumia hiyo ID kama kuna namna ya kubadilisha nielekezeni.