Agness Masogange(Msambinungwa) Aonyesha tatoo zake za mwili

Agness Masogange(Msambinungwa) Aonyesha tatoo zake za mwili

Wema nadhani hana,maana hana hata skendo ya mtoto,heheehe Sintah wa enzi za Nature,ila hata ufiche mtoto atajulikana tu,maana utampeleka wapi asijulikane,ni ulimbukeni tu mbona kuwa na mtoto kawaida hata kama hamjaoana,kwanza mi nikiwa na mtoto siwezi mficha msichana au nani,sijui why watu wanakana watoto na watoto wanavyokuwa wazuri

mtoto alizaa na prof moja wa uganda ni anamficha huyo......lakin watu wafukunyuku wana data zote
 
frankly speaking....wanamuita video qn lakin hata hyo ya belle 9 siikumbuki sura yake,,sijui ni ile sex tape ama biashara ya madawa???sijui kipi ndio kimempa umaarufu.....labda unisaidie yupo kwenye video za nyimbo zp zaidi???

mie mwenyewe sionagi...na hadi kesho siikumbuki sura yake kwenye hiyo video kama wewe........

mpododo wenyewe unadhani anao wa kihivo ni mbwembwe tu
 
hizo zina tofauti gani na tatoo? mi naona ni kitu kilekile lugha tu ndio imebadilika,na uyo ametumia bi harusi mtarajiwa lakini haolewi leo wala kesho

Tatoo na Hina ni vitu viwili tofauti, kama ilivo penseli na peni ya wino.
 
mnazijua tatoo? hiyo kapaka ina tu. cheki alivokomaa na li.samsung galaxy s4 clone, wamemuonga mabasha.zake anajua la.million. kumbe laki na.nusu.

manina mwanamke simpend.huyu.
 
mnazijua tatoo? hiyo kapaka ina tu. cheki alivokomaa na li.samsung galaxy s4 clone, wamemuonga mabasha.zake anajua la.million. kumbe laki na.nusu.

manina mwanamke simpend.huyu.

Hahahahahaha usinivunje mbavu zangu mie!!!!
 
magumegume,msambinungwa naaaaa.....wimbo wa belle9 masogange.
 









Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD “masogange” naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram huku akijiita “bibi harusi mtarajiwa”
hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia

N u call t tattoo?duuu
 
Na zile za david beckham pia ni hinna?
 
Tattoo za kuingia ktk damu zipo! Na tattoo za wino less permanent pia zipo na hasa ulaya na america! Refer tattoo za eminem, messi, alves
 
wimbo mpya wa tunda man unaitwa hvyo, hlo jina linamanisha mwanamke asiyetulia na Agnes alicheza kama msambinungwa kwenye video ya huo wimbo

kumbe sante nimefahamu
 
Huo mzigo wake kama wa mazingaombwe kuna muda unaonekana mkubwaaa wa kushtua
kuna muda wa kawaida mmmhmmmh
 
Back
Top Bottom