bibliography
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 614
- 228
Wema nadhani hana,maana hana hata skendo ya mtoto,heheehe Sintah wa enzi za Nature,ila hata ufiche mtoto atajulikana tu,maana utampeleka wapi asijulikane,ni ulimbukeni tu mbona kuwa na mtoto kawaida hata kama hamjaoana,kwanza mi nikiwa na mtoto siwezi mficha msichana au nani,sijui why watu wanakana watoto na watoto wanavyokuwa wazuri
frankly speaking....wanamuita video qn lakin hata hyo ya belle 9 siikumbuki sura yake,,sijui ni ile sex tape ama biashara ya madawa???sijui kipi ndio kimempa umaarufu.....labda unisaidie yupo kwenye video za nyimbo zp zaidi???
hizo zina tofauti gani na tatoo? mi naona ni kitu kilekile lugha tu ndio imebadilika,na uyo ametumia bi harusi mtarajiwa lakini haolewi leo wala kesho
Akishazaa mtoto ata acha mwacheni bandugu akue though age nayo inazidi kumtupa mkono.
mnazijua tatoo? hiyo kapaka ina tu. cheki alivokomaa na li.samsung galaxy s4 clone, wamemuonga mabasha.zake anajua la.million. kumbe laki na.nusu.
manina mwanamke simpend.huyu.
msambinungwa ndio nin.
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD masogange naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram huku akijiita bibi harusi mtarajiwa
hii imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia
Lakini anatazamika!!!!!!!!!!kama mm ..hta sielewei umaarufu haa ni nn....
wimbo mpya wa tunda man unaitwa hvyo, hlo jina linamanisha mwanamke asiyetulia na Agnes alicheza kama msambinungwa kwenye video ya huo wimbo