GE2025 Agnesta Kaiza atua kwenye tawi la Yanga, Kisukuru kuomba kura

GE2025 Agnesta Kaiza atua kwenye tawi la Yanga, Kisukuru kuomba kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, akiomba kura wakati wa kampeni yake ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika kwenye kata ya Kisukuru jimboni hapo. Akiwa tawini hapo mgombea huyo amesema kuwa wale walioaminiwa kwa miaka 10 hawajafanya chochote kwa kuwa changamoto ya barabara na maji ziko pale pale katika mtaa wa mianzini.
Chanzo: Jambo Tv
 
Back
Top Bottom