Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Lambert Kaiza amesema licha ya changamoto za kiuchumi anazodai zimesababishwa na uongozi uliopo chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wananchi wameendelea kutafuta riziki kwa juhudi zao wenyewe, hivyo wanapaswa kuchagua CHAUMMA ili kuleta mabadiliko ya kijamii.
Agnesta ameyasema hayo leo Septemba 14, 2025 katika kikao cha ndani kilichofanyika Kata ya Vingunguti, Tawi la Butiama, mkoani Dar es Salaam.
“Hakuna aliyekuja hapa kwa sababu amesikia kuna soda, hakuna aliyekuja hapa kutafuta elfu tano. Mnajua kwamba mmekuja kumsikiliza yule aliyekuja kuwanyooshea mapito yenu,” amesema Agnesta.