MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Ile ni yanga aù kikosi C cha Yanga 😀 Yanga unaijua wewe? 😀Waleteni wale wazee uwanjani tare 8..lazima watafungwa dazen 12...kwa mpira wa leo hakuna cha chama,azizi ki,wala pacom..kumbukeni hii APR juzi kwenye kombe la mapinduzi imeifunga yanga 3
Sijui unatumia nini kuwaza, bila shaka ni ushabiki wako wa kichura.Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani.
Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo.
Hauwezi ukacheza na underdog ambapo 50% ya mchezo unashindwa kusajili shoot on target.
Timu inategemea sana individual brilliance kuzalisha matokeo. Kocha Fadlu ana homework ya kufanya kabla hajakutana na wahuni hapo tarehe 8.
Mashabiki wa Yanga mmerukwa na akili, hakuna timu isiyo fungika.🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuh! Simba Kuna mashabiki wa ajabu sana,,,kwaiyo APR hii inaweza ikasimama mbele ya yanga? Mungu awasaidie kwakweli
Wahuni which?Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani.
Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo.
Hauwezi ukacheza na underdog ambapo 50% ya mchezo unashindwa kusajili shoot on target.
Timu inategemea sana individual brilliance kuzalisha matokeo. Kocha Fadlu ana homework ya kufanya kabla hajakutana na wahuni hapo tarehe 8.
Kama umeangakia kipindi cha kwanza tu ila kipindi chapili ilicheza vizur, bado wachezaji hawana combination ila ikikamata simba itakuwa vizuri sanaTimu ya simba jana ilibebwa na tukio na kushinda mechi juhudi binafsi za wachezaji ila haikuonesha muunganiko wowote na haikuweza kupita katikati kabisa, tarehe 8 Yanga itaonesha kote kunapovuja.