Agosti 8, 2024 wamshauri tu apaki basi dhidi ya Yanga

Agosti 8, 2024 wamshauri tu apaki basi dhidi ya Yanga

Waleteni wale wazee uwanjani tare 8..lazima watafungwa dazen 12...kwa mpira wa leo hakuna cha chama,azizi ki,wala pacom..kumbukeni hii APR juzi kwenye kombe la mapinduzi imeifunga yanga 3
Ile ni yanga aù kikosi C cha Yanga 😀 Yanga unaijua wewe? 😀
 
Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani.

Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo.

Hauwezi ukacheza na underdog ambapo 50% ya mchezo unashindwa kusajili shoot on target.

Timu inategemea sana individual brilliance kuzalisha matokeo. Kocha Fadlu ana homework ya kufanya kabla hajakutana na wahuni hapo tarehe 8.
Sijui unatumia nini kuwaza, bila shaka ni ushabiki wako wa kichura.
Swali kwanza ulishawahi kucheza mpira na hasa nafasi ya no. 9?? Usingeongea hivyo Kwa Mukwala, mistari miwili ya ulinzi Iko tight Bado unaganda katikati kutafuta nini lazima uwavute pembeni kwenye wide space kuruhusu mids kushambulia space inayobaki, Kwa Mutale umeongopea hakuna mchezaji aliyeshambulia kuingia katikati kuliko yeye!!!
Hilo la kutoelewana na physic Kwa baadhi ya wachezaji liko sawa kabisaaaa, lakini haiwap urahisi Yanga hata kidogo coz hyo ni mechi ambayo wageni wote wataweza kutoa kila walichonacho kurudisha heshima ya Simba
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuh! Simba Kuna mashabiki wa ajabu sana,,,kwaiyo APR hii inaweza ikasimama mbele ya yanga? Mungu awasaidie kwakweli
Mashabiki wa Yanga mmerukwa na akili, hakuna timu isiyo fungika.
 
Timu ya simba jana ilibebwa na tukio na kushinda mechi juhudi binafsi za wachezaji ila haikuonesha muunganiko wowote na haikuweza kupita katikati kabisa, tarehe 8 Yanga itaonesha kote kunapovuja.
 
Ukiwaangalia Simba unaona kabisa hawana muunganiko (chemistry) ya kujuana vyema uwanjani.

Mutale na Mukwala wanafanya mikimbio kuelekea pembeni ya goli asilimia 70 ya mchezo.

Hauwezi ukacheza na underdog ambapo 50% ya mchezo unashindwa kusajili shoot on target.

Timu inategemea sana individual brilliance kuzalisha matokeo. Kocha Fadlu ana homework ya kufanya kabla hajakutana na wahuni hapo tarehe 8.
Wahuni which?
Nyie Utopolo tutawafunga hiyo Tarehe 8
 
Timu ya simba jana ilibebwa na tukio na kushinda mechi juhudi binafsi za wachezaji ila haikuonesha muunganiko wowote na haikuweza kupita katikati kabisa, tarehe 8 Yanga itaonesha kote kunapovuja.
Kama umeangakia kipindi cha kwanza tu ila kipindi chapili ilicheza vizur, bado wachezaji hawana combination ila ikikamata simba itakuwa vizuri sana
 
Back
Top Bottom